Afariki dunia, siku moja baada ya kifo cha binti yake

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,550
2,000
Msanii wa Hollywood Debbie Reynolds amefariki akiwa na umri wa miaka 84, siku moja tu baada ya kifo cha binti yake, Carrie Fisher.

Alikimbizwa hospital baada ya kushikwa na ugonjwa nyumbani kwa mtoto wake wa kume huko Beverly Hills.

Debbie Renolds ama Mary Frances, umaarufu wake ulikuwa mwaka 52, wakati alipofanya tamasha sambamba na Gene Kelly katika wimbo uliojulikana kama ''..Singin' in the Rain..''
Alikuwa pia ni muigizaji wa sanaa ya vichekesho.

Chanzo: BBC
 

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
9,617
2,000
Miaka 84 si haba. Kwa Tanzania ni wachache sana wanaofikisha level hizo, maana nchi hii watu wanakufa kama kumbikumbi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom