Picha za Ray C ndani ya muonekano mpya WA kihindi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,319
50,533
Picha za Ray C akiwa ndani ya muonekano mpya wa kihindi

Huenda huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva Rehema Chalamika aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na pale katika maisha yake ya muziki.


Muimbaji huyo ambaye amedaiwa kuweza kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kushindwa kwa muda mrefu,wiki chache zilizopita aliweka kambi ndani ya studio ya Wanene kwa ajili ya maandalizi ya ujio wake mpya.


Wiki hii amepiga picha zake mpya zinazomuonyesha akiwa na muonekano wa kihindi. Angalia picha.


1482836522932.png

1482836539935.png
1482836548216.png
1482836561157.png
 
Hivi mtumiaji wa hayo makitu kwa muda mrefu hata akiacha atakuwa kama alivyokuwa kabla ya kutumia??!!
 
Tanzania bwana kwani msanii akipotea ni lazima arudishwe tena kwenye kuimba hata Kama alikuwa na matatizo kila kitu na wakati wake atafute kazi nyingine afanye
Akiwa mama ntilie afu akapata sehem yenye wateja wengi atatoka sana...tatzo alishakariri kuwa atatobolea kwenye music
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom