mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,862
- 51,529
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!