Hivi Lamar yuko wapi?

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,076
2,000
Huyu alikuwa producer mkali wa mziki ambaye aliibuka kipindi ambacho akina majani walianza kupotea kipindi ambapo waliibuka ma producer wengi kama mako chali, nah real naye na wengine.
Alitengeneza hits kibao lakini mara gafla fish crab imepotea?
Hivi yuko wapi na je bado ni producer?
 

The Ideologist

JF-Expert Member
Nov 11, 2012
466
250
Yupo town anapiga mishe nyingine za ujasiriamali pia ni agent wa kampuni ya DAW kwa upande wa vifaa vya magari. Watayarishaji wengi wa music Hali ni tete wengi wanafanya kwa passion mkuu, mwisho wa siku wengi wanakimbilia kufanya commercial jingle Na kuachana Na mainstream music industry kwa sababu haiwalipi
 

tamadunimusic

JF-Expert Member
May 27, 2015
553
1,000
Kwa mujibu wa master j, kuwa zamani walikuwa wanarecord kwa hela nyingi sana tofauti na leo ambapo kwa dar hata ukiwa na elfu 50 nawewe unakuwa na wimbo, so kwa wale maproducer waliokuwa wanatoza hela nyingi hawawezi kutoka mfano kwenye kutoza milion hadi kwenye laki 1 au 2 hivo wameamua kuacha ila wanafanya kazi za kuandaa matangazo tu, mfano kama yale ya voda, tigo, na mengineyo, pia wanajihusisha na biashara zingine za mjini

Aliwataja maproducer hao kuwa ni pamoja na marco chali, lamar, majani na wengine waliokuwa wanawika zamani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom