GadoTz JF-Expert Member Nov 20, 2014 350 569 Dec 26, 2016 #1 Vijana wa Nkunda all stars wakifanya trap ya kisukuma
Atacms JF-Expert Member Aug 19, 2013 4,817 8,778 Dec 26, 2016 #3 Dimaga Dimaga lolo Dimaa nimeipenda aisee embu mtupe na tafsiri yake basi
yorkshire JF-Expert Member Sep 9, 2016 2,508 3,110 Dec 26, 2016 #5 moyes said: Dimaga Dimaga lolo Dimaa nimeipenda aisee embu mtupe na tafsiri yake basi Click to expand... Dimaga maana yake 'shikilia' au 'kamatia' au 'shika'
moyes said: Dimaga Dimaga lolo Dimaa nimeipenda aisee embu mtupe na tafsiri yake basi Click to expand... Dimaga maana yake 'shikilia' au 'kamatia' au 'shika'
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,372 54,909 Dec 26, 2016 #8 Mmmh kwahyo huo wimbo unalenga wasukuma
mr gentleman JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,223 4,681 Dec 26, 2016 #9 Raphael wa Ureno said: Mmmh kwahyo huo wimbo unalenga wasukuma Click to expand... Nafikiri ni kwa kila mmoja, Kuna trap za Marekani au pengine na zinapendwa japo hazijulikani kinachoimbwa.
Raphael wa Ureno said: Mmmh kwahyo huo wimbo unalenga wasukuma Click to expand... Nafikiri ni kwa kila mmoja, Kuna trap za Marekani au pengine na zinapendwa japo hazijulikani kinachoimbwa.
GadoTz JF-Expert Member Nov 20, 2014 350 569 Dec 30, 2016 Thread starter #10 yorkshire said: Dimaga maana yake 'shikilia' au 'kamatia' au 'shika' Click to expand... Asante kwa ufafanuzi
yorkshire said: Dimaga maana yake 'shikilia' au 'kamatia' au 'shika' Click to expand... Asante kwa ufafanuzi
Prince Kunta JF-Expert Member Mar 27, 2014 22,794 28,891 Dec 30, 2016 #11 Kamata chini Kamatia chini×2
Jaby'z JF-Expert Member Jan 15, 2013 4,300 7,624 Dec 30, 2016 #12 abhoi bhagangh'waga ngh'omba, gubise dugangh'waga mabele.. abhoi bhagalyaga bhugali na matumbati gubise dugalyaga matembele.. kiswahili kwao wanakunywa uji,kwetu tunakunywa maziwa kwao wanakula ugali na tumbaku sie tunakula matembele hahahah nice song tyga wa kingosha
abhoi bhagangh'waga ngh'omba, gubise dugangh'waga mabele.. abhoi bhagalyaga bhugali na matumbati gubise dugalyaga matembele.. kiswahili kwao wanakunywa uji,kwetu tunakunywa maziwa kwao wanakula ugali na tumbaku sie tunakula matembele hahahah nice song tyga wa kingosha
DUBULIHASA JF-Expert Member Nov 26, 2016 4,301 7,857 Dec 30, 2016 #13 Character kubwa ya wasukuma ni ushamba lakini hapa amejitahid sana kutouonesha.