Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Kwa wimbo wa kidogo ya p-squaere x Diamond platanzania.
[HASHTAG]#VodacomKaziNiKwako[/HASHTAG]
Cha ajabu ni nini while D.AMOND ni balozi wa Vodacom Tanzania.Hili ni Tangazo la Vodacom au unazungumzia hiyo Tuzo aliyopata Dimond?!
hizi habari kama zinakuudhi we vaa tinted tuu maana hamna namna sasaaaaaaaaah! hizi sasa ni sifa mkuu...!
Naomba nimwage povu langu sasa...! hii imekuwa too much..
kila tuzo.. Diamond, hatufanya hivi..Diamonds, hatupumuiii.. hivi si ndio huyo huyo kamepiga HatTrick na Assists mbili leo..Halafu tena Leo hiihii tuzo nyingine..Ina maana hakuna wasanii wengine au ikoje yaaani.. mbona mnampendelea tu Diamond.. au hili jukwaa ni la Diamond, maana kila siku lazima azungumziwe Diamond.. Kiukweli inakera sana, inatakiwa tufike mahala tuwapost hata wasanii wengine.. Juzi juzi tu hapa kila nikiingia humu nakutana na Picha za shoo za Diamond, ina maana Hakuna wasanii wengine ambao wanashoo zao za kufunga mwaka? na kama wanashoo zao mbona hazipostiwi? ila Diamond tu!
Hebu tuBalance mizani basi jamani, hii inaleta picha mbaya.. kama ni hivyo basi Ifahamike TZ kuna msanii mmoja tu! wengine ni waimbaji.. eeeeh! maana hizi ni dharau sasa..
kila siku Diamond Diamond.. Tumemchoookaaaaaaaaa..!!
Sawa omary nyembo jitaidi na Wewe uta postiwa mpaka utachokaaaaaaaaah! hizi sasa ni sifa mkuu...!
Naomba nimwage povu langu sasa...! hii imekuwa too much..
kila tuzo.. Diamond, hatufanya hivi..Diamonds, hatupumuiii.. hivi si ndio huyo huyo kamepiga HatTrick na Assists mbili leo..Halafu tena Leo hiihii tuzo nyingine..Ina maana hakuna wasanii wengine au ikoje yaaani.. mbona mnampendelea tu Diamond.. au hili jukwaa ni la Diamond, maana kila siku lazima azungumziwe Diamond.. Kiukweli inakera sana, inatakiwa tufike mahala tuwapost hata wasanii wengine.. Juzi juzi tu hapa kila nikiingia humu nakutana na Picha za shoo za Diamond, ina maana Hakuna wasanii wengine ambao wanashoo zao za kufunga mwaka? na kama wanashoo zao mbona hazipostiwi? ila Diamond tu!
Hebu tuBalance mizani basi jamani, hii inaleta picha mbaya.. kama ni hivyo basi Ifahamike TZ kuna msanii mmoja tu! wengine ni waimbaji.. eeeeh! maana hizi ni dharau sasa..
kila siku Diamond Diamond.. Tumemchoookaaaaaaaaa..!!
Nimekuelewaaaaaaaaah! hizi sasa ni sifa mkuu...!

USIMFANANISHE DIAMOND NA VITU VYA KIJINGA...
Kuna watakaosema amehonga. Jamani duniani kuna watu na viatu!