Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nyomi yenyewe ya WASAFI kama ilivyotarajiwa ndio hiyo... Nawapongeza WASAFI Kwa kuanzisha TOUR- Hii itapunguza utegemezi Kwa Clouds na Fiesta yao... Naona warembo wa UDOM, CBE, Wamejaa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Alikiba ameshinda tuzo Mkali huyo wa Aje ameshinda tuzo ya Chaguo la Watu (Prix du Public) kwenye tuzo za Ufaransa za Wana Music Awards zilizotolewa Ijumaa hii. “Hii ilikuwa ni tuzo pekee...
9 Reactions
53 Replies
10K Views
Msanii mkongwe katika muziki wa Bongo fleva Dully Skyes amefunguka na kusema ugomvi wa wasanii Alikiba na Diamond kwa sasa ni mkubwa kwani umeshatoka mpaka kwa watu wa nje. Dully Skyes akiongea...
1 Reactions
60 Replies
13K Views
Habari ya wikend wakuu...... Kuna hawa watu niliowataja hapo juu wote ni wachoraji wa katuni wazuri Masoudy kipanya huyu huchora katuni kwenye gazeti la mwananchi ukiachilia mbali kama CEO wa...
0 Reactions
54 Replies
14K Views
Ile ndoto ya Irene Uwoya kuingia bungeni imefutwa baada ya kukatwa na kamati ya CCM katika uchujaji wa majina ya wabunge wa viti maalum mtu mwingine aliekatwa ni msanii Keisher so no ubunge poleni.
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Wakuu habari; Tukiwa tunaelekea mwishoni kabisa mwa mwaka huu wa 2016 naomba tukumbushane kauli za mastaa wa Bongo zilizo make headlines zaid kwa mwaka huu mzima, Binafsi naanza na hizi; *1...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Heri ya mwaka mpya uwe wa neema na baraka katika maisha yako
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazee wa fitina wasema kwa sasa anatakiwa kuitwa chidi vits...
2 Reactions
554 Replies
122K Views
Karibu baba lakn usiwe kama 2016. Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
0 Replies
685 Views
Nawasalim , wana bodi hasa katika hili jukwaa la celebrities, Ni muda mrefu toka niache kufatilia muziki huu wa kibongo hii ni kutokana na kukosa mashairi yenye kuvuta hisia kwa jamii ,Mara ya...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
diamond is very luck yooo ex boyfriend wa zari analia The best revenge you can get on your ex is to move on and let them see you happy with someone who treats you better than they did. Farouk...
2 Reactions
63 Replies
20K Views
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram... Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika.. What's...
3 Reactions
102 Replies
10K Views
Na: Edo Kumwembe. NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu yako katika dakika za majeruhi katika mechi muhimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Najua wengi mlikuwa Mkisubiri hili jwa hamu kujua tadhimini nzima ya show mbili za Diamond na Team nzima ya Wasafi zilizo Fanyika Iringa na Dar! Sasa leo nimekuleteeni tathimini ya show zote mbili...
25 Reactions
122 Replies
15K Views
From Chid Benzi to Chid Vits.... Aisee tumwombee huyu mshakaji...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
ALI KIBA Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake. Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke, ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA ,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka Me...
12 Reactions
124 Replies
18K Views
Katika kile kinachoonekana viongozi wa serikali kuvutiwa na jinsi Diamond na lebel yake WCB wanavyoibadilisha tasnia ya muziki wa Tanzania kuwa fursa ya kibiashara na kazi rasmi, Mh. Waziri wa...
3 Reactions
73 Replies
9K Views
Yule mwanamichezo maarufu wa Marekani Serena Williams amepata nchumba. Hiii ni habari mbaya kwa wale marafiki zangu wa Tanzania walioko huko ambao wengi walitarajia hako kanafasi. Hatahivyo...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Ni mtangazaji wa choice Fm anaitwa Mo J ana miaka 23
2 Reactions
71 Replies
15K Views
Unaweza kuwatambua hawa!??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom