Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000

Chid Benz amerudia tena madawa ya kulevya na yupo kwenye hali mbaya
Mwana Fa alimuomba Babu Tale wamsaidie msanii huyo hivi karibuni lakini Babu Tale akasema hatomsaidia tena kwa kuwa Chid Benz ni kama sikio la kufa, halisikii dawa
Watu kadhaa walitabiria Chid Benz kurudia kutumia madawa kutokana na msanii huyo kukosa nidhamu na utabiri wao umetimia
 

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,029
2,000
Hata mimi sikuamini kama anaweza kuacha madawa kirahisi namna hiyo. Na tatizo lake kubwa ni ujeuri ndio maana ni ngumu sana kwake kupata mtu wa kumuongoza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom