Roma Mkatoliki ataimba kweli awamu hii?

Msemajiwao

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
639
1,532
Mpaka sasa yupo kimya; Nasubiri kwa hamu sana mashairi ya Awamu hii ya Msanii Huyu nguli;
 
Mistari bado michache kwa sasa haitoshi,mistari iliyopo ni bombardier, kukamatwa kwa Lema na Melo,kupotea kwa Saa nane,kutumbua, Scorpion na Faru John kwa Roma hii haitoshi kukamilisha singo tusubiri subiri kidogo labda mwakani.
 
Faru khadija
 
Back
Top Bottom