Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
Baada ya kuomba kolabo na mwanadada huyo na kuishiwa kutoswa baada ya Vanessa kusema hamjui, Timbulo baada ya ngoma yake aliyoshirikiana na Baraka inayoitwa usisahau kufanya vizuri amesema...
9 Reactions
98 Replies
14K Views
Ningependa kujua hata kidogo historia ya huyu msanii....nimeanza kumsikia miaka ya 2003 na ngoma yake kali sana aliyowashirikisha mandojo na domo kaya___kazi yake mola
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Habari za kusikitisha kutoka chini ya uvungu huko huko WCB zasema, ule mkosi wa kusainishwa international uliomkumba Davido mpaka kupelekea kumfukuza Meneja wake, unanukia nukia WCB. Kwa habari...
6 Reactions
33 Replies
6K Views
Siku chache zilizopita tulimshudia waziri Nape akimkabidhi bendera ya taifa mwanamuziki diamond wakati akijiandaa kwenda kutumbiza kwny masshindano ya afcon wakati mwanariadha simbu akiondoka...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimekaa sehemu hapa, zinapigwa nyimbo za Timbulo, let's be fair for a while, Timbulo has percuriar way of singing, hafanani na msanii yeyote yule, kuna watu wanamdharau na kumchukulia poa. Kuna...
2 Reactions
30 Replies
7K Views
Sasa uyu darasa amekusanya kijiji cha mashabiki we mziki.....ila leo namtupa mikononi mwa simba tuone kama atabaki SALAMA mbele ya mnyama uyu wa kigoma toka msitu wa gombe..... Wewe mfurukutwa wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo mwaka 1968, ulimwengu ulishuhudia kuzaliwa kwa mwanasiasa na mwanasheria nguli Mheshimiwa mbunge Tundu Antiphas Lissu. Nitumie nafasi hii kumtakia miaka 100 zaidi na kila la...
11 Reactions
34 Replies
5K Views
Dada yetu amepata ajali kaumia mkono an mguu. Lakini kwa bahati nzuri maeneo mengine ya mwili yuko salama
3 Reactions
74 Replies
24K Views
Zahara alikuwa dhaifu, mwenye utapiamlo na aliyezungukwa na umaskini wa hali ya juu katika familia yake. Akiwa na miezi 6 tu, Angelina Jolie aliingiwa imani na kuamua kumchukua na kumuasili...
8 Reactions
98 Replies
18K Views
Prodyuza mkongwe wa muziki nchini, P-Funky 'Majani' kakinukisha kwa Jose Chameleon kisa ni wimbo wake wa Bomboclat kutumika kama soundtrack kwenye movie ya Lupita Nyong'o iliyoshootiwa Marekani...
21 Reactions
109 Replies
19K Views
Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK aka ‘Fundi Mitambo’ ametangaza ujio mpya wa tamasha kubwa la Diamonds Are Forever 2017 ambapo safari hii litafanyikia katika uwanja wa Taifa. Muimbaji huyo...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
STAA wa Filamu Bongo , Chuchu Hans juzikati alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi ' Ray ' , akaeleza kuwa , hakuna ukweli wowote juu ya hilo. Chuchu alifikia...
0 Reactions
77 Replies
24K Views
Muda si mrefu nimeona Daz Baba akihojiwa kwenye kipindi cha weekend chartshow, kwa jinsi nilivyomuona ni tofauti na nilivyokuwa nafikiria kutokana na picha zake nilizoziona zikisambaa mtandaoni...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Msanii Hamad Ally anayetuhumiwa kuiba simu amesema mtu anayedaiwa kumpora simu alimlipa hela ya kufanyia video lakini akawa hana vifaa na shida ndipo ilipoanzia amesema yeye hela yake haipotei na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtanzania anayejuana na mabilionea wengi kuliko Mtanzania yoyote yule nchini lakini bado anakaa kwa mshua na hata hajawahi kununua luku amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukataliwa kufanya...
23 Reactions
144 Replies
25K Views
Msanii Ditto aliyeimba wimbo wa Moyo skuma damu, anadai kiutaalam moyo kazi yake ni kusukuma damu pekee na mambo ya hisia za kupenda uchungu, hasira na mengine sio kazi ya moyo bali kuna sehemu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwana Fa amadai kwa sasa muziki wa ma group hauwezi kulipa tena kutokana na hali ya uchumi wa muziki kwa sasa, ametolea mfano wa ma group ya muziki ya Marekani waliyokuwa wameyaiga kama D12...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR. This is a non-Nigerian award category for an individual African artiste or group with the most astounding endeavors especially in penetrating the Nigerian Music...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna harusi 2 tumealikwa moja Mombasa nyingine Tannga. Kwa Mombasa lakini nahitaji walio wenyeji au waliowahi kwenda kule wanipe sifa za kule na sababu zipi zinafanya wanawake wa kule kupenda...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
yuko stegini anafanya yake,heko sana baba tifa.
6 Reactions
77 Replies
13K Views
Back
Top Bottom