Nimuonavyo Timbulo

big result now

Senior Member
Sep 8, 2013
107
70
Nimekaa sehemu hapa, zinapigwa nyimbo za Timbulo, let's be fair for a while, Timbulo has percuriar way of singing, hafanani na msanii yeyote yule, kuna watu wanamdharau na kumchukulia poa.

Kuna nyimbo za kwanza kweli alikopi lakini ule wimbo aliouimba na Rich Mavoko pamoja na huu naku-miss miss ni mizuri sana, they were supposed to be hit songs, ila kwa bahati mbaya kwa kuwa ni Timbulo hatuwezi kuliona hilo.

Si shabiki wa Timbulo ila hizi nyimbo ni zuri mno kwa mtazamo wangu, na ana staili ya kipekee kabisa.
 
Wrong judgement my young brother! Tuachane na hii hulka kuwa kitu cha Fulani kinahit kwakuwa ni FULANI na kinyume chake..
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Hata mimi nazikubali nyimbo zake hata zile za copy maana kukopy c kazi ndogo
 
Timbulo nadhani tatizo ni jina lakini physically hes good..huyo best naso amekaa kama mchimba chumvi.

kuna baadhi ya wasanii wanakoma kiaina na timbulo...hanaga show za kivile ila vichupa vyake vya kibishi flani!wanajiulizaga sana mwana mshiko wa vichupa anavitoa wapi wakati hao pamoja na show zao wanazozipata ila jasho huwatoka kufanya kideo....timbulo hajakaa sana kienyeji siku hizi ila umkoani unachangia watu kumchukulia poa kwani wabongo bila kuongeza sifuri kama wafanyavyo kina diamond huheshimiki.....!mziki ni zaidi ya kipaji tena hasahasa siku hizi!inabidi kuwekeza
 
Jamaa ana style flani ya kuinba naikubari sana design kama mziki wa zamani design kama wa siku hizi.
Kuna ngoma yake ya wa leo wa kesho naikubari mpaka leo
 
Back
Top Bottom