DITTO: Kiutalaam Moyo kazi yake ni kusukuma damu tu, hauhusiki na kupenda

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Msanii Ditto aliyeimba wimbo wa Moyo skuma damu, anadai kiutaalam moyo kazi yake ni kusukuma damu pekee na mambo ya hisia za kupenda uchungu, hasira na mengine sio kazi ya moyo bali kuna sehemu ndogo ya ubongo inayohusiana na hayo mambo
Alifanya utafiti wa kusoma pamoja na kuwauliza wataalamu wa afya kazi za moyo kabla ya kuimba wimbo huo
 
Na kweli hayo mengine sijui ya mapenzi moyo unajipendekeza tu na ndio maana mapnz yanakua mabaya siku hizi
 
Sawa. Kiutaalamu hatukatai
Lakini kupenda sio utaalamu... kwaivyo pia kuna kaz nyingne ambayo sio ya kitaalamu moyo unaweza kufanya.....
 
Kupenda hata kuchukia ni kazi ya moyo pia .
Sema wanasayansi hawajaweza kugundua mechanism inayohusika.
 
Back
Top Bottom