Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Habari za kusikitisha kutoka chini ya uvungu huko huko WCB zasema, ule mkosi wa kusainishwa international uliomkumba Davido mpaka kupelekea kumfukuza Meneja wake, unanukia nukia WCB.
Kwa habari zisizo rasmi, zinasema Universal music wamezuia kutoka kwa video ya wimbo wa diamond ambao ulipaswa kutoka October 2016 tarehe 26, ambapo ungeambatana na show ya diamond kumsindikiza neyo UK,
akini show yenyewe ilifutwa na kutupiliwa mbali na universal music ambao ndo walikuwa wanaisimamia, tatizo kubwa ni faida ndogo sana wanayopata hao universal ambayo hailingani hata kidogo na Bilioni mbili waliyotoa kwa WCB,
Usambazaji wa nyimbo za diamond ikiwemo aliyomshirikisha neyo haujaleta matokeo mazuri kwao universal, kwani wametumia pesa nyingi sana lakini mauzo hayaridhishi. Pia kufuatia kuvuja kwa wimbo wa diamond ft neyo ambapo Universal walikuwa washauingiza itune umeharibu mauzo ya hiyo nyimbo itune, ambapo habari za chini zinasema mpaka sasa hiyo nyimbo imenunuliwa mara 8000 tu huko itune.
Diamond yeye anataka kuitoa video na neyo , lakini Upande wa Universal umezuia usitoke, kwa maana wahisi hasara zaidi kwa upande wao. Watu wamekuwa wakitengeneza video feki za wimbo huo na kuzipost you tube ilimradi tu iwaongezee Subscriber,
Mziki wa international mgumu, angalia Ali kiba, angalia davido stress mpaka kafukuza meneja, diamond nae anapoelekea anaweza hata fukuza kina tale na salamu.
Kwa sasa hakuna mtu yeyote ambaye anajua hiyo video itatoka lini, hata diamond mwenyewe hajui. Tumuombee diamond mana hizo bilioni mbili keshazitumia ikiwemo kununua nyumba sauzi