MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Mtanzania anayejuana na mabilionea wengi kuliko Mtanzania yoyote yule nchini lakini bado anakaa kwa mshua na hata hajawahi kununua luku amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukataliwa kufanya remix ya wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala". Chanzo chetu kinadai jamaa huyo alikuwa ameenda studio kufanya kitu kama remix ya wimbo huo na kuupa jina la "TATIZO KWETU DOWNTOWN" lkn alipocheki na simba huyo alimchomolea na kumshauri awekeze nguvu nyingi Instagram maana upande huo unahitaji akili na kipaji cha hali ya juu.
Tulipouvutia waya uongozi wa Wasafi ulidai gwiji hilo la mitandao ya kijamii ni vigumu sana kutusua kwenye anga za mziki ukizingatia umri unamtupa mkono, "unajua hustle za mziki zinahitaji kama miaka minne ili utoke,sasa kwa sasa hivi King ana miaka 61 na ukiongeza miaka 4,atakuwa na miaka 65,mpaka hapo huwezi kumuita tena ni msanii wa kizazi kipya maana hamna msanii wa kizazi kipya mwenye miaka 50" aliongeza afisa wasanii kutoka huko Usafini.
Tulipompigia simu king simu iliita bila mafanikio
Source : blog ya wanamuziki