Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Zahara alikuwa dhaifu, mwenye utapiamlo na aliyezungukwa na umaskini wa hali ya juu katika familia yake.
Akiwa na miezi 6 tu, Angelina Jolie aliingiwa imani na kuamua kumchukua na kumuasili, kumfanya kama mwanae wa kumzaa.
Angelina Jolie aliwahi kudai kuwa aliambiwa mama yake Zahara alifariki kwa ugonjwa wa Ukimwi 2005 alipomchukua. Ukweli ni kuwa mama yake alikuwa hai
Sasa Zahara amekua na ana miaka 12 huku akiishi maisha ambayo kila mtu anayaota akiwa na mzazi wa kumlea tajiri.
Licha ya kuwa Mentewab anakiri kwamba Angelina amefanya kazi kubwa kumlea mwanae, anaomba tu japo nafasi ya kumuona kidogo.
“Nataka tu ajue kuwa mimi ni mzima na nina hamu kubwa ya kuongea naye. Sihitaji kumchukua mwanangu, lakini ni walau tu kuwa naye karibu, kumuita na kuongea naye,” aliiambia Mail Online.
Chanzo: Bongo5