chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,212
Sasa uyu darasa amekusanya kijiji cha mashabiki we mziki.....ila leo namtupa mikononi mwa simba tuone kama atabaki SALAMA mbele ya mnyama uyu wa kigoma toka msitu wa gombe.....
Wewe mfurukutwa wa darasa...
Tambua Leo wewe ndo komborela lenyewe na mondi mlinda kopo.
CHONDE CHONDE uje kubutua ili darasa asalimike....embu mpigie kura tuone.
SIMBA VS JESHI LA WANA (darasa)
Nani mfalme wa bongo fleva?