Timbulo amtumia salam Vanessa Mdee, amuambia kama alikuwa hamjui basi keshamjua

Status
Not open for further replies.

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Baada ya kuomba kolabo na mwanadada huyo na kuishiwa kutoswa baada ya Vanessa kusema hamjui, Timbulo baada ya ngoma yake aliyoshirikiana na Baraka inayoitwa usisahau kufanya vizuri amesema mwanadada huyo kwa sasa atakuwa keshamjua.

Timbulo alishalalamikia wasanii wa kike na kudai wana mashauzi kwani wakiombwa kolabo wanakataa sababu ya umaarufu.
 
Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Ila nadhani na mimi nimerogwa mi ile mofupa naitamani kinoma! Wakati kwa kawaida am sucker kwa vyura sijui fupa yule kanifanya nini wallahi!
 
Vmoney mashauzi ys nini? Yanakupunguzia credibility yako. Kwani ungekataa tu kawaida ungepungukiwa nini?
 
Wanawake wana vituko sana akienda kuhojiwa hata kwenye TV show flani basi utakuta kavalia ile minywele yao fake basi kila muda anaongea anairusha rusha nyuma anajiona mzungu
Wakishavaa mawigi, wakaweka rangi za kope, na angel faces wanakua kama jini basi wanahisi ni wazuri balaa lakini hamna kitu kabisa. Kunako 6x6 ndo bureee kabisa hamna lolote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom