screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Muda si mrefu nimeona Daz Baba akihojiwa kwenye kipindi cha weekend chartshow, kwa jinsi nilivyomuona ni tofauti na nilivyokuwa nafikiria kutokana na picha zake nilizoziona zikisambaa mtandaoni zaidi ya miaka mi5 iliyopita, katika mtazamo wa kawaida je inawezekana mtu aliye katika hali ile tuliyoaminishwa miaka ile kwamba jamaa kaathiriwa sana na ngada awe kama hivi tulivyomuona leo kwenye TV? Jibu linaweza kuwa pengine alienda Rehab, but sio rahisi kwa staa kama yeye kwenda huko kimyakimya bila medias/'wambea' kujua. Yeye mwenyewe amekana kwamba hatumii hivyo vitu, je kuna uwezekano wa kwamba anasingiziwa? Kwamimi navyofahamu Daz Baba sikuzote ni kimbaumbau hata kabla hajahusishwa na dawa, mwili wake nilivyomuona Leo hauna tofauti sana na wa wakati ule anaanza game