Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Msanii Hamad Ally anayetuhumiwa kuiba simu amesema mtu anayedaiwa kumpora simu alimlipa hela ya kufanyia video lakini akawa hana vifaa na shida ndipo ilipoanzia amesema yeye hela yake haipotei na hata kama imechukuliwa na maiti hivyo akafanya mpango na kutafuta polisi ili simu yake irudishwe lakini hakutaja kilichotokea kati yao hadi hela yake ikapatikana na upande wa pili ukabaki unalalamika lakini anasema hajutii