kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Jana Ijumaa 9th june 2017 nilimuona msanii Mr Bluu akiwa mahakama ya wilaya ya Kinondoni analia baada ya kushushwa kwenye karandinga la polisi , pia nikaona watu nadhani ni ndugu zake wakiwa wamechanganyikiwa kuwauliza hawakunijibu ..lakini kwa uzoefu wangu ni criminal case kwa anaejua mtu huyu ana kesi gani?...kumbuka nahoji kwa kuwa yeye ni kiooo cha jamii na mimi ni mmoja wa wana jamii na hii ni jamii forum!!!!!!!