Quick Rocka 'Switcher' msanii anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya 'down' amewajibu wanaohoji mafanikio yake kuwa makubwa kuliko muziki kwa kusema siku zote mafanikio yana sauti...
Stori: WAANDISHI WETU
HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili...
Diamond alienda uingereza siku tatu zilizopita ahojiwa baada ya show yake amesema arudiana na Wema Sepetu.
Na Jokate asema yake Kwa mujibu wa FB page yake Jokate amejibu issue yake na Wema kuhusu...
Baada ya kuingia katika ndoa yake ya pili pamoja na kuzindua albamu mpya Flora kapotea kabisa. Au ni laana ya Mtumishi Wa Mungu Mme wake Wa kwanza bwana Mbasha?
wa kitambo kile sambamba na yule bwana mpana mcheza sarakasi kabla ya kupigana alikuwa anaigiza nae kitambo kile
Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye taarifa zake alikuwa akinivutia mno kwa naigizo ya...
Mtakumbuka kuwa Siku za hivi karibuni TID alijitokeza hadharani na kuuthibitishia umma kuwa ameachana na matumizi ya dawa za kelvya na kwa sababu hiyo ilibidi apatiwe msamaha kwani ilibidi...
Msanii wa muziki miondoko ya mduara nchini, AT amefunguka kwa kuwachana wasanii wa Tanzania kwa kudai wengi wao ni waongo, hawapendi kusema ukweli juu ya mambo yao yanayowasibu.
AT ameeleza...
MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond', walijikuta wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka...
Wadau;
Imefikia sasa wazazi kujifunza namna wanavyowalea watoto wao.
Kufundisha maadili mema watoto wetu ni jambo la msingi
Kwa kweli ni aibu kubwa kwa mzazi wa mtoto mwenye tabia hizi.
Kazi...
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Inili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja...
Katika pita pita leo nikakutana na kauli ya Gadna G. Habashi meneja lkn pia mume wa mwamamuziki Jide aliyetoa wosia siku za karibuni kuhusiana na mtafaruku ulioko kati yake na Clouds Media,na hayo...
Tabata wamzomea Makamba
*Ni wakazi waliovunjiwa nyumba zao
*Amnyang'anya kipaza sauti mjumbe wa shina
*Ni baada ya kupinga ushauri aliotoa kwa wakazi hao
* Wakataa kuchukua viwanja mpaka...
Msanii wa Bongo Fleva, Jay Moe ameeleza changamoto alizokumbana nazo shule hadi kupelekea kutoa albamu ya Ulimwengu Ndio Mama, licha ya hiyo kuna vitu ambavyo anajivunia ikiwemo kusoma shule moja...
Jana Ijumaa 9th june 2017 nilimuona msanii Mr Bluu akiwa mahakama ya wilaya ya Kinondoni analia baada ya kushushwa kwenye karandinga la polisi , pia nikaona watu nadhani ni ndugu zake wakiwa...
Wema aanzisha challenge ya kunyoa vipara hilo sio tatizo taizo ni pale wanapoanza kuweka mafumbo. Fumbo kwa wapenda ubuyu huwa linafumbuliwa mapema na kwa urahisi
Kwa style hii bongo movie wana...
Dj fetty ametangaza kuachana na utangazaji na kuwa Mjasiriamali kuanzia leo
==================
SURPRISE! Aliyekuwa mmoja wa watangazaji wa kipindi maarufu cha burudani XXL cha Clouds FM, Fatma...
Nimetokea kuikubali sana hii ngoma.Ni ngoma flani ukiwa home na mchumba wako,girlfriend au hata mke mnasikiliza huku TARATIIIIBU unachezea nywele zake.
Well done Mavoco
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.