Msanii aliyelelewa na kutengenezwa kwenye record label ya Wasafi, Harmonize aka Konde Boy sasa ametangaza vita na Wasafi.
Ametumia page yake ya Instagram kuishambulia show ya boss wake wa zamani...
Hello fellas
Kwa wanaofuatilia kinachofanyika leo Tandahimba
Naona Jeshiiii kaamua kulipa sasa, kijana naona
Anaanza kutisha maana kaanza kwa vitisho.
Nimeona imetolewa kafara na kufanyiwa...
Harmonise "MondiRapa"!!! Wanaiga sana mondi. Naona ilianza Harmonize kumkubali sana Mondi toka alipokuwa WCB!!!
Maana kuanzia mziki mpaka swag zake, social media zake, kuanzisha festival, nk...
Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo...
Wana JF Heri ya mwaka mpya.
Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba.
Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii...
Jana niliskia kua Msanii Diamond amepenga kujenga msikiti mkubwa tu hapo tandale na kwamba amenunua uwanja mkubwa sana hapo tandale na kama haitoshi wakasema kua amepanga kuigeuza Tandale kua...
Taarifa niliyoikuta moja na studio za kuandaa muziki nilipokwenda kurekodi nyimbo yangu siku ya jana usiku ni kwamba Diamond alikuwa anataka kuchukua uraia wa Kenya.
Maamuzi hayo ni kufatia...
NIMEONA andiko la Mrisho Khalfan Ngassa mitandaoni. Ni andiko flan hivi ambalo lina vimelea vya kujitilisha huruma. Alichofanya huo ndo uzalendo mkubwa kwa timu yake. Wachezaji wote wangekuwa hivi...
Habari wakuu, niende moja kwamoja kwenye hii habari.
Taarifa zilikuwa zikienea kuwa nyota huyo wa muziki duniani mwenye umri wa miaka 61 amekuwa akitoka na kijana huyo ambaye ni mnenguaji wake...
December 31, 2019
Johannesburg,
Republic of South Africa
31 Dec 2019
South African singer-songwriter Yvonne Chaka Chaka has been deported from Uganda. She'd been invited to perform at New Year...
AliKiba:
huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni...
Kitendo cha Rayvanny na Diamond kufika mbeya kulifanya wana mbeya kuchanganyikiwa kwa furaha ila Baada ya diamond kuondoka kaacha maumivu.
Uwanja wa mbeya wa sokoine kwa sasa umeharibika sana...
Leo Hii, Producer Mkongwe wa Bongoflava Pfunk Majani ametutambulisha mtoto wake wa Kwanza Aitwaye Patricia.. Binti huyu Ndio Dada yake Paula wa Kajala anasoma Chuo Cha sheria huko UK Uingereza...
Chid benzi ameshangazwa kwa kitendo Cha Majizo kutaka kumlipa elfu 50 kwenye show ya mziki mnene.Chidi Benz amefunguka hayo Kati ya moja ya interview aliyofanya ameongeza kuwa walitaka kunipa elfu...
Msanii ngwiji wa kimataifa kutoka Tanzania Jana alipata mapokezi makubwa mkoani mbeya ikiwemo kusafishiwa Barabara wakati gari lake linanapita na wanambeya Kama vile ni Raisi na shangwe kubwa...
Wakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums...
Kwa wanaojua ladha ya muziki...vipi ingefanyika production ikiwaunganisha wasanii Hawa wawili...Simi(Nigeria) na Saida Kalori(Tanzania)
Audio production ifanywe na Mika Mwamba na Maneke
Sent...
Katika jamii yoyote ile ya watu, kuna baadhi ya watu ambao ni mabingwa wa kung'ata na kupuliza , akiwa na wewe atakusifia na kukupa kila aina ya sifa na kujifanya ni mwema sana kwako na kuwaponda...
Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye...