Laana: Diamond kaharibu uwanja Mbeya, marekebisho mwezi mzima, timu za Mbeya kuchezea Iringa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Kitendo cha Rayvanny na Diamond kufika mbeya kulifanya wana mbeya kuchanganyikiwa kwa furaha ila Baada ya diamond kuondoka kaacha maumivu.

Uwanja wa mbeya wa sokoine kwa sasa umeharibika sana, Timu ya mpira ya prisons mbeya ilitakiwa icheze na yanga katika uwanja huu ila haitawezekana badala yake timu hizo zitachezea uwanja wa iringa.

Mashabiki walijaa wengi sana uwanjani, wakati huo huo mashabiki zaidi ya elfu 5 walikuwa nje ya uwanja kwa kukosa nafasi.

Ni rekodi nzuri kwa diamond kujaza uwanja namna hii katika historia ya mbeya lakini kafanya shughuli za uwanja zisimame mwezi mzima kwa uharibifu uliofanywa na nyomi la mashabiki wake.

Masharti yakazwe katika kumkodisha diamond viwanja vya matamasha maana anajaza sana watu wanaopelekea uharibifu
 
Hawa jamaa sio watu wazuri. Sasa utaona kigoma wanaruhusiwa uwanjani tena.
 
Alipewa uwanja bure?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu whu kweli yaani kazi ilikuwa kutaja Simba,Simba na alichokuwa anakifanya jukwaani ni vichekeshorobo tatu ya muda alitumia kuwataka wapunge mikono,mashariki,magharibi na kutoa madongo,kama huo ndio muziki si ajabu uwanja kuharibika
Jamaa ni Chris brown wa ukanda huu, yani hata apige mluzi watu wanajaa na wanashangilia, kijana kashindikana
 
Kitendo cha Rayvanny na Diamond kufika mbeya kulifanya wana mbeya kuchanganyikiwa kwa furaha ila Baada ya diamond kuondoka kaacha maumivu.

Uwanja wa mbeya wa sokoine kwa sasa umeharibika sana, Timu ya mpira ya prisons mbeya ilitakiwa icheze na yanga katika uwanja huu ila haitawezekana badala yake timu hizo zitachezea uwanja wa iringa.

Mashabiki walijaa wengi sana uwanjani, wakati huo huo mashabiki zaidi ya elfu 5 walikuwa nje ya uwanja kwa kukosa nafasi.

Ni rekodi nzuri kwa diamond kujaza uwanja namna hii katika historia ya mbeya lakini kafanya shughuli za uwanja zisimame mwezi mzima kwa uharibifu uliofanywa na nyomi la mashabiki wake.

Masharti yakazwe katika kumkodisha diamond viwanja vya matamasha maana anajaza sana watu wanaopelekea uharibifu
Uwanja usijae vp na watu waliingia bure!?....
 
Kweli katisha KIINGILIO ILIKUWA SH NGAPI?

Lakini mkumbuke tamasha lilikuwa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom