Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wana JF Heri ya mwaka mpya. Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba. Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Jana niliskia kua Msanii Diamond amepenga kujenga msikiti mkubwa tu hapo tandale na kwamba amenunua uwanja mkubwa sana hapo tandale na kama haitoshi wakasema kua amepanga kuigeuza Tandale kua...
2 Reactions
130 Replies
22K Views
Taarifa niliyoikuta moja na studio za kuandaa muziki nilipokwenda kurekodi nyimbo yangu siku ya jana usiku ni kwamba Diamond alikuwa anataka kuchukua uraia wa Kenya. Maamuzi hayo ni kufatia...
14 Reactions
69 Replies
12K Views
NIMEONA andiko la Mrisho Khalfan Ngassa mitandaoni. Ni andiko flan hivi ambalo lina vimelea vya kujitilisha huruma. Alichofanya huo ndo uzalendo mkubwa kwa timu yake. Wachezaji wote wangekuwa hivi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, niende moja kwamoja kwenye hii habari. Taarifa zilikuwa zikienea kuwa nyota huyo wa muziki duniani mwenye umri wa miaka 61 amekuwa akitoka na kijana huyo ambaye ni mnenguaji wake...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
December 31, 2019 Johannesburg, Republic of South Africa 31 Dec 2019 South African singer-songwriter Yvonne Chaka Chaka has been deported from Uganda. She'd been invited to perform at New Year...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
AliKiba: huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
Kitendo cha Rayvanny na Diamond kufika mbeya kulifanya wana mbeya kuchanganyikiwa kwa furaha ila Baada ya diamond kuondoka kaacha maumivu. Uwanja wa mbeya wa sokoine kwa sasa umeharibika sana...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Leo Hii, Producer Mkongwe wa Bongoflava Pfunk Majani ametutambulisha mtoto wake wa Kwanza Aitwaye Patricia.. Binti huyu Ndio Dada yake Paula wa Kajala anasoma Chuo Cha sheria huko UK Uingereza...
11 Reactions
110 Replies
25K Views
Chid benzi ameshangazwa kwa kitendo Cha Majizo kutaka kumlipa elfu 50 kwenye show ya mziki mnene.Chidi Benz amefunguka hayo Kati ya moja ya interview aliyofanya ameongeza kuwa walitaka kunipa elfu...
11 Reactions
59 Replies
8K Views
Msanii ngwiji wa kimataifa kutoka Tanzania Jana alipata mapokezi makubwa mkoani mbeya ikiwemo kusafishiwa Barabara wakati gari lake linanapita na wanambeya Kama vile ni Raisi na shangwe kubwa...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakuu. Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno. Shetani bhana Sent using Jamii Forums...
11 Reactions
76 Replies
7K Views
Kwa wanaojua ladha ya muziki...vipi ingefanyika production ikiwaunganisha wasanii Hawa wawili...Simi(Nigeria) na Saida Kalori(Tanzania) Audio production ifanywe na Mika Mwamba na Maneke Sent...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika jamii yoyote ile ya watu, kuna baadhi ya watu ambao ni mabingwa wa kung'ata na kupuliza , akiwa na wewe atakusifia na kukupa kila aina ya sifa na kujifanya ni mwema sana kwako na kuwaponda...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kunaile tabia ya kutoa comments kwenye kurasa za kijamii hususani kwa mastaa haswa pale wanapofanya mambo yanayoonekana kuwa kinyume na imani zetu mara nyingi unakuta tunawakumbusha utaona mtu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanazengo wapenda ubuyu, embu tujuzane wapenda umbeya. Huyu dada historia inasema aliolewaga. Hivi kimeendaje tena ama ndo mambo ya uzungu. Status ipoje sahiv? Maana tangu aolewage sijawahi muona...
3 Reactions
82 Replies
18K Views
Congrats to brother and my role model Zitto Kabwe.
16 Reactions
137 Replies
21K Views
Miezi michache.iliyopita nilikuwa nawasikiliza hawa.kwenye redio moja. Ila tangu mfumo wa utangazaji wa ile redio ubadilike sijawahi tena kuwasikia na kwa kweli siisikilizi ile redio siku hizi...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Back
Top Bottom