Harmonize: A request of a boss is an order

Degelingi_One

Member
Nov 17, 2018
72
121
Wana JF Heri ya mwaka mpya.

Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba.

Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii huyo alisikika akisema Mwakani atafungua radio station "Tandahimba FM".

Atakuwa mwenyekiti wa timu ya Tandahimba. Hakuishia hapo aliwaahidi watu waliohudhuria kwenye show hiyo kuwa upungufu wa dawa katika hospital ya Tandahimba itakuwa historia.

Mwishoni aliwaimbisha watu waitikie "m Bungeee". Ikumbukwe katika sherehe za Nyerere day mwaka Jana mheshimiwa alimsifia sana akamuomba mwaka huu akagombee Ubunge Tandahimba.
 
Wabunge cdm wale wasanii miziki wanaoimba inaeleweka syo Hawa sjui kainama ni mchomeke, sjui Ngoja nkupake mafuta...... Mambo wanayoimba

Ova
Nlichogundua ni muheshimiwa Raisi anaumia sana chadema kuwa na wabunge waliotoka kwenye mziki harafu ccm hakuna kwahiyo anataka afanye kila njia kuwaingiza hao vijana wawili bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmonize ashindwe tu mwenyewe.
Ccm wakipania anapita tyuu.. Nakumbuka ilitokeaga Jimbo la kalenga. Baada ya kifo Cha waziri wa fedha na mipango mh. Mgimwa na (mb) Kuna dogo mtoto wa marehemu aliteuliwaga kum_replace. Alikuwa hawezi hata kusimama jukwaani Lakini ccm walifanya kila namna dogo akapitaaa
 
Kama mondi anaweza kumcoach mtu aliyekua anaonekana hana mbele wala nyuma mpaka inafikia hatua anapewa promo na raisi akawe mbunge ! Mondi anastahili degree ya heshima kwani anafanya kazi ambayo hata vyuo vikuu vmeshindwa kwasasa!!
 
Back
Top Bottom