BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,526
- 3,802
Taarifa niliyoikuta moja na studio za kuandaa muziki nilipokwenda kurekodi nyimbo yangu siku ya jana usiku ni kwamba Diamond alikuwa anataka kuchukua uraia wa Kenya.
Maamuzi hayo ni kufatia kuzuiwa kufanya show ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana kitu ambacho ndio biashara yake kubwa hivyo asipofanya show inamaana atayumba kwa muda usiojulikana.
Inasemekana alianza mazungumzo na wizara ya mambo ya ndani ya nchini Kenya baada ya kufungiwa ambapo imeonekana ni changamoto. Kwa mujibu wa ''Kenyan Citizenship and Immigration Act of 2011'' mtu anaweza kuwa raia wa Kenya kwa kuomba lakini baada ya kuishi Kenya kwa miaka angalau 7 au awe ameoa raia wa Kenya na wawe kwenye ndoa angalau kwa miaka saba ndipo atapewa ruhusa hiyo.
Lakini Diamond hajaoa Kenya wala hajaishi Kenya kwa kipindi cha miaka saba mfululizo. Inasemekana siku ya juzi na jana Diamond alionekana katika ubalozi wa Nigeria jambo ambalo limetafsiriwa ni kuwa anaangalia uwezekano wa kuhamia Nigeria baada ya kushindwa Kenya.
Tujifunze, pesa ni muhimu lakini pesa si kila kitu. Tukipata tuwe na adabu na hekima, tusiwe na dharau.