Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ed sheraan wametoa wimbo Mpya unaoitwa put it all on me.kuna kipande kinaonesha mandhari ya Tanzania na Zanzibar,imekaa vizuri sana,kama haujaicheki ingia youtube Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Source ;wasafi tv and clouds fm Facebook and YouTube channel Akitengeneza nyimbo kama Niache ya Diamond platnumz Utatulia ya lava lava Na nyingine nyingi za harmonize Sababu anasema ni maslahi
1 Reactions
7 Replies
3K Views
SABABU ZA HARMONIZE KUTOKA WCB (Sababu ya ukweli yaani) Ni baada ya kuchoshwa na maonevu ya blaza aliyechoka kuandika mashairi yake peke yake, na kulazimisha kuingia kwenye kila wimbo wake ambao...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Kama Mungu angeniuliza unaitaji nani nimrudishe dunia mtu wa kwanza ningemtaja huyu dada Regina Luhanga alikufa kwa ajali ya gari kule Korogwe wakampelekea ndege kumleta Dar. Mungu akampenda...
2 Reactions
48 Replies
12K Views
Leo ametoa wimbo akiwa na mpenzi wake kwangu mimi ni ya kawaida ila ajabu sasa Ndani ya masaa 5. 1.Imekamata number 1 kwenye trending 2.imetazamwa na watu zaidi ya laki 4 Sent using Jamii...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Mwanzoni mwa mwaka wachawi walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kujaribu kuififisha nyota ya Diamond Platinumz lakini Mungu bado amesimama upande wake. Kwa kawaida Diamond hupata followers si chini ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna muda unacheki muvi ni mbaya ila unabidi uicheki mwanzo mwisho kwa ajili tu umemuona mdada fulani humo.. To me I like Badass girl.. Wale wababe, Wana matendo ya kibabe applied in reality...
1 Reactions
161 Replies
24K Views
Aliyekuwa mwendeshaji wa kipindi maarufu Uingereza cha Love Island, Caroline Flack amejiua jana nyumbani kwake London. Caroline alikuwa ni mwendeshaji wa kipindi hicho kwa miaka kadhaa mpaka...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
"Asubuhi kabla ya jogoo kuwika uniamshe na kimoko" nami NAKAZIA hapo hapo,kwa afya ya akili na mwili hii kitu ya asubuhi ni muhimu sana utafiti unaonyesha 99% ya wanaopata cha asubuhi wanaamka na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
1.MAPENZI NA NGONO:Ngono ni moja kati ya sababu kubwa za mtu hasa wanawake kuingia kwenye industry.Kama mdada ana makalio makubwa, nyonyo za kueleweka na factors nyingine zenye kuamsha tamaa za...
63 Reactions
157 Replies
24K Views
Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Mwanadada asiyeishiwa vituko Wema Sepetu (Tz sweetheart) baada ya kuamua kupunguza umbo lake huu ni muonekano wake mpya. Baadhi ya mashabiki zake wengine walimsifia kwa uamuzi aliochukua na...
5 Reactions
96 Replies
33K Views
Jana wakati nimeenda account ya insta ya Professor Jay nimeona amerusha show yake live aliyofanya Congo. Jamaa amejaza uwanja na amepiga show ya kufa mtu. Honestly nimefuraishwa sana na...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada, wengi wetu tukisikia jina la Tenko au tekno miles . Basi ni ukweli usiopingika moya kwa moya kama siyo moja kwa moja , kila mtu anajua kuwa huyo ni mkali toka pande...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Haijajulikana anaelekea media gani, lakini ameaga leo katika kipindi chake. Tetesi zinadai anaelekea Wasafi FM. Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
45 Replies
13K Views
Kama wewe ni miongoni mwa watu waliotamani kushuhudia mazishi ya mchezaji wa Basketball Marehemu Kobe Bryant na mwanaye Gigi taarifa ikufikie kuwa tayari wawili hao wameshazikwa kwa Siri siku ya...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
Siku zote maisha ni kama gwaride, ukisikia nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza. Licha ya utajiri na ustaa alionao Bi. Sandra, enzi za ujana wake alishafanya sana kazi za ubaamedi na...
4 Reactions
68 Replies
13K Views
Siku ya kwanza nasikia ngoma inaitwa Duro kutoka kwa Tekno nikasema hii ni hit haiitaji maelezo. Hakuishia hapo zilifuata ngoma zilizonamba Afrika na zikavuka boda mastaa kibao wa Mamtoni...
6 Reactions
43 Replies
8K Views
Habaru zinasema huenda akatimkia Usafini
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake wenye kuwababaisha watu maarufu wengi ikiwemo hata vigogo wa mjengoni pale Dodoma. Diva Malinzi amefunguka kupitia insta story ya Instagram yake kwamba yeye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom