Patricia binti wa Pfunk Majani

chendelela

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
1,145
1,002
Leo Hii, Producer Mkongwe wa Bongoflava Pfunk Majani ametutambulisha mtoto wake wa Kwanza Aitwaye Patricia.. Binti huyu Ndio Dada yake Paula wa Kajala anasoma Chuo Cha sheria huko UK Uingereza..
FB_IMG_1577522056187.jpeg

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Na ukiwa mchapaji mzuri wa mabinti wa wenzako jiandae na wako kuliwa.
Majani katafuna sana underground's artist wakike waliotaka kutoka sasa ni zamu yake wahuni sio watu wazuri sasa hivi akili inamkaa vizuri
Ni vizuri kuwastahi watoto wa kike wa wenzio.Ni jambo jema kutowarubuni na kuwatumia kingono LAKINI hio sio guarantee kuwa wakwako hawatatumika.
 
Na ukiwa mchapaji mzuri wa mabinti wa wenzako jiandae na wako kuliwa.
Majani katafuna sana underground's artist wakike waliotaka kutoka sasa ni zamu yake wahuni sio watu wazuri sasa hivi akili inamkaa vizuri

Mtoto wa kike kuchapwa nao ni kawaida, noma kama ni mtoto wa kiume, hiyo ndio noma kinoma.
 
Back
Top Bottom