FIFI wa tamthilia ya NYAVU dstv , ni kuku wa kienyeji na utamu wake

gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,413
4,589
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
 
Taarifa yako ilitakiwa iambatane angalau na kapicha ka huyo FIFI, sio wote watazamaji wa hizo senema!
 
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
Nilivoona FIFI nkadhan ni ule mgahawa hapa arusha umefumguliwa maake ulifungwa sababu ya corona
 
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
Nyavu ni tam sana kuliko Huba hivi marudio huwa ni lini? Leo nimeichelewa
 
Binti yuko vizuri ila nguo anazovaa zinamuwamba sana, yaan ni pembe la ng'ombe halifichiki
 
Habari bila picha... Hainogii

IMG_3009.JPG

Yes ni mazuri haswaaa sura mpaka body
 
Back
Top Bottom