Dr. Panjuan wa Panjuan ni nani?

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu!

Naombeni kuuliza hivi huyu Dr. panjuan wa Efm ni nani na je ni muhindi kweli au anaact tu maana nikimsikiliza simuelewagi.
 
Atakuwa ni yule chogo ndo Ana act hivyo
no umekosea chogo ndo kicheko panjuan n mtu mwingine kicheko au chogo mwemywe huyo hapa
4092941635d22078f626737bc50e3b11.jpg
 
Habari zenu wakuu!

Naombeni kuuliza hivi huyu Dr. panjuan wa Efm ni nani na je ni muhindi kweli au anaact tu maana nikimsikiliza simuelewagi.
2c291b07660a2acdd1919d780f703bc3.jpg

huyo aliesimama pembeni ya oscar oscar mweny karatasi kwny mfuko wa shati lake na kavaa kofia ndo dk panjuan ya panjuaniiiii
 
Kumbe ile ni sauti ya muhindi? Mbona haifanani, mi nilifikiri anamuigiza mchina!
 
Jamaa nilidhan ni muhindi kweli. Yaan anajua kuigiza wahindi kweli. Yaan huwa nacheka sana ktk hyo kona ya Dr. Panjuani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom