Tumshauri kijana mwenzetu Adam Mchomvu achague A au B au C

Sodabeer

Member
May 17, 2020
61
138
(Adam kijana mwenzangu umeanza CLouds fm siku nyingi sana lakini angalia jinsi ambavyo unatengwa. Angalia jinsi ambapo huaminiki.
XXL ni wewe ndiyo ambaye unaibeba..Kipindi cha Bongo fleva ulinyang'anywa siku nyingi tu..now amepewa kennedy. Utaendelea kuwa mtangazaji mdogo hadi lini. nI KIPI ambacho umefanya hadi usiaminike)


Adam wewe ni brand kubwa sana..Tatzo hujui tu au hawakuambii. XXL bila wewe inakufa., Muda ambao unatangaza XXL ni dk 30 tu likini wewe ni maarufu kuliko kipindi.

Licha ya wewe kumzidi kila kitu B12 utangazaji..creative..but host wa kipindi alikuwa B12..kwa hapa labda kwakuwa ulimkuta.
B12 kaondoka tulitegemewa utapewa wewe...wamempa kijana mdogo Kennedy..Kweli wewe wa kuongozwa na Kennedy. Yaani Kennedy unamzidi kila kitu.
umekuwa underrated sana brother, ona hata kwenye FIESTA ulikuwa mc tu...kila kitu alipewa B12..LEO HATA Kennedy anasauti kwako.

chagua yafuatao

a) hama hapo..nenda sehemu yeyote...wewe hamna anayekufikia bongo..hao wakina lommy, b12, sam hamna anayeweza hata kwa nusu yako. Nenda radio zingine ukapate changamoto zingine.
au
b) fungua youtube yako/hapo mjengoni unafanya kazi muda mchache..fungua youtube utakuwa unawahoji wasanii mbali mbali..kwa jina lako wewe youtube itafika 500k miezi 3 tu/...wote wanafanya..b12, salam, sns.. youtube yako ya mziki ifanyeiwe ya habari...

au
c) Achana na mziki unakupotezea muda.

Adam upo underrated sana..Tanzania hii hakuna mtangazaji anayejua kutangaza redioni..stejini..km wewe..
Ondoka hapo..watoto wadogo watakudharau. sepa


1591371227777.png
 
Ana usela mavi wa kishamba Sana kufikiri kutukana ndio ujanja. Ruge alifanya kazi ya ziada kumshape, kumpa nafasi na kumuweka hapo ulipomkuta wewe. Lkn jamaa Hana busara za kujiongoza ukimwachia rungu ni Kama umemfungia chizi kwenye nyumba ya vioo yenye mawe ndani.
 
Ana usela mavi wa kishamba Sana kufikiri kutukana ndio ujanja. Ruge alifanya kazi ya ziada kumshape, kumpa nafasi na kumuweka hapo ulipomkuta wewe. Lkn jamaa Hana busara za kujiongeza ukimwachia rungu ni Kama umemfungia chizi kwenye nyumba ya vioo yenye mawe ndani.
si kweli
 
Adamu lazima awepo mtu wa kumuongoza wa kumfunga speed, ukimpa kipindi kama cha XXL aki host basi jua kinakufa kama alivyotaka kuiua bongo fleva ........ Ndio maana wamemtupa kwenye kipindi cha usiku cha soso fresh cha kila ijumaa na ukitaka kujua adamu ni chizi msikilize akiwa peke kwenye kipindi bila mtu wa kumuongoza!
 
AD hataki kipindi cha XXL nauwakika kwanza AD ni mtu mwenye mambo mengine sana alafu usikute alishapewa XXL lakini alikataa hatujui kwasababu vyote tunavyo andika havina ukweli hata kwa 40% maana tunamaswali ambayo hatuna majibu ya upande wa pili kwahiyo hapa tuna hisi tu na sio kitu kingine.
 
Hii ni fursa nzuri kwa redio nyinginezo kuvuna masupastaa wa CMG..

Kwa hali ilivyo adam anahitaji Redio kubwa itakayouamini na kumpa mpunge mrefu..

Na cha pili apewe uhuru, yaani uhuru wa kumuamini na kumpa nafasi ya kufanya anachoweza kukifanya zaidi, yaani wampe kipindi chenye maudhui ya hiphop kama kile cha saigon, ataua sana
 
Mchomvu ana kipaji cha uchekeshaji,

Ukweli mchungu lakini wanaomzunguka hawamwambii ukweli analazimisha mziki ila hana kipaji hicho,,

Kupewa kipindi kenedy ni sawa tu,

Huyo Meena naye anapwaya pale,

Kwa kifupi Adam abaki palepale hizo dk 30 zinamtosha,,

Akisema ahame atapotea mazima,

Hiko kipindi labda apewe fetty,

Sent using Jamii Forums mobile app
Fety si aliikacha xxl? Kwanza nimemskia majuz kweny jahazi ,anaongea vbaya sana kama sio Fety yule wa xxl...yani anatoa rafudhi sijui yawapi...na anachoongea hata hakieleweki
 
Back
Top Bottom