Rama Dee tatizo ni nyota au ni nini jamani?

SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,671
2,028
Kati ya wanamuziki ambao wana kipaji haswaa na ni mafundi wa kuimba basi Ramadee ni kiboko yani ni sawa na Ed Sheeran wa Marekani vile, lakini kwa sasa alieukamata mziki wa Tanzania ni Diamond platnumz mziki na pesa pia jamaa yupo vizuri

Hawa mafundi akina Rama Dee wanazeeka na ukali wao tu lakini sina uhakika kama mziki unamlipa kama kilivyo kipaji chake maana hata views youtube ni chache tofauti na ukali wake

Daah KIPENDA ROHO

Lawama zote tuwatupie wanawake ...wao ndo mashabiki wakubwa wa muziki wa rnb

Me nahc kwa dunia ya sasa kuwa na kipaji Cha kuimba pekee bado haitoshi ,Kuna kujiongeza kwa ku creat attention kwa watu, swala la muonekano ni muhimu pia , promotion ndo kabisaaa swala la muhimu, Rama Dee kakosa muonekano, promotion ndo kabisa Wala Hana mpango huo ..ni km anaringia kipaji chake so anabaki tuu kuitwa mkali ..huku uzee unanukia
 
kwenye Attention jamaa ndipo alipouwa

Huyu muziki anaimba kama hobi tu, nilishawahi kuzungumza nae akasema ana ishu nyingine kabisa ndo zinamfanya kuwa bize. Lakini hajaamua kuingia kwa miguu yote kwenye muziki kama ilivyo kwa Mad Ice nowdays...
 
Ni vizuri kama ana ishu nyingine, maana huwa sifurahii kabisa kumuona msanii ana uwezo mkubwa halafu ni choka mbaya mfukoni kisa sanaa haimlipi.
 
Huyu muziki anaimba kama hobi tu, nilishawahi kuzungumza nae akasema ana ishu nyingine kabisa ndo zinamfanya kuwa bize. Lakini hajaamua kuingia kwa miguu yote kwenye muziki kama ilivyo kwa Mad Ice nowdays...
ahaa
 
Jamaa ni fundi, ila kujua na kufanikiwa ni vitu viwili tofauti. Ndiyo maana mshauri wa kibiashara huenda yeye hajawahi kufanikiwakibiashara. Na hii siyo tu TZ hata huko mbele kuna watu wanajua sana ila hawana mafanikio kama hawa mainstream
 
Jamaa anajua
Syo Hawa wengine wanapiga kelele tu ngolo ngolo lolo,
Rama dee Ana truck nyingine kali inaitwa
Kwa akili yangu nayo nzuri sana

Ova
 
ugomvi wake na clouds wakati huo ulichangia kwa kiasi kikubwa jamaa kutoka kaa kwenye Ramani

track list bora kwang toka kwa jamaa
1. Sio waoaji hao
2. kipenda Roho
3. Kikao cha famili
4. Sara
5. Usi hofie wacchaga
.
.
.
listi ni ndefu
 
Kuwa na subira
 
Kwa Tanzania sijawahi kuona mtu mwenye uwezo mkubwa kuliko Rama Dee jamaa ana kipaji Cha pekee Sana yupo bongo kwa bahati mbaya.Ngoma zake zipo unique Sana sema jamaa apati heshima ya kustahili kwa watanzania.Ngoma yake ninayoikubali Sana Ni "Nibebe"
 
ugomvi wake na clouds wakati huo ulichangia kwa kiasi kikubwa jamaa kutoka kaa kwenye Ramani

track list bora kwang toka kwa jamaa
1. Sio waoaji hao
2. kipenda Roho
3. Kikao cha famili
4. Sara
5. Usi hofie wacchaga
.
.
.
listi ni ndefu
Nae alikorofishana nao nni
 
Back
Top Bottom