Who is Christina Shusho historically? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is Christina Shusho historically?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Felixonfellix, Mar 15, 2010.

 1. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Salamu wan JF,

  Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.

  Mbarikiwe kwa msaada wenu
  ============

   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mmmmhuuu!!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Ninavyomjua ni mke wa mtu
   
 4. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sijui historia yake lakini, the woman is pretty!! And she has this voice!
   
 5. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  She studied English course for one year 2006 at The Assemblies of Go Bible College, Dodoma. She is originally from Kigoma though some claim her family to have moved to Kigoma from DRC.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kweli she is pretty bana, mungu kamjaalia na autunze uzuri kwa mme wake
   
 7. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Thanks very much JF members, I still need more about this servant of the living God???? Cha muhimu ni historia yake tu!!!!!
  Nafahamu kuwa ni mke wa mtu na daima naheshimu sana ndoa na utu wa mtu. Tunzeni ndoa zenu
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  any way mi simjui, lakini kuna wimbo wake mmoja hapa nikiusikiliza nasikia kama nakutana na Mungu uso kwa uso, hebu jisomee mwenyewe na ubarikiwe sana...
   
 9. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wa ukweli sana huyu dada, anajua haswa.
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu, it is not easy to get her history from anyone kwa sababu hana skandali yoyote. Ikiwa huna nia mbaya piga hodi kanisa la TAG Ilala, watakuambia how to meet her kisha mwaweza kuongea.

  Thanks for this thread anyway, I didn't know she was from DRC. I thought she is Nyakyusa.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,281
  Trophy Points: 280
  Bonge la msanii
   
 12. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sina nia mbaya hata kidogo, cha muhimu ni kupata historia yake tu. Hata hivyo asanteni kwa mchango wenu
   
 13. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Is her name Christina Shusho or Christina Shushu!!!!??? For sure she is a dedicated mother and servant of God. She is free from scandals. She and her husband are trully serving the living God.
   
 14. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2010
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ni mwimbaji mzuri asiye na makuu, umaarufu haujaharibu sifa yake ya kuwa mke mwema: anavaa kiheshima na anakiasi nashangaa kusikia ana asili ya Congo! maana sioni kujichubua na make up za hawa wenzie.
  Mtoa mada wasiliana na mtandao wa Strictly Gospel walimfanyia mahojiano kwenye magazine yao. Mungu azidi kuiinua huduma yake.
   
 15. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Christina Shusho.
   
 16. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na ana watoto 3 kama sikosei
   
 17. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nyimbo zake zina upako. Huchoki kuzisikiliza na ukizisikiliza unahisi uwepo wa MUNGU na kutiwa nguvu mpya.
  Burudikeni na wimbo wake huu wa kuabudu.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  She has a sweet voice na nyimbo zake karibia zote zimetoka kwenye bibilia takatifu, ubarikiwe Mamy na uzidi kumtukuza Mungu.
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Mar 20, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  we mtoa mada bwana!! Kama unakitu wataka kusema we sema tu ila kumbuka person's historical background haikuhusu unless unalo unalolitafuta.
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Mar 20, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Buji buji kama una kitu vile????
   
Loading...