Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Limetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru? Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI wengine...
10 Reactions
79 Replies
7K Views
Habari zenu.Kwanza nianze kwa kusema kuwa simchukii msanii wa Bongo Fleva "Barnaba Boy". Nitakachokiandika hapa kinatokana na hisia zangu binafsi. Ni hivi mimi Kwa uwezo wangu mdogo kuhusu mziki...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Mwana mitindo wa ufarasa Marino Himer kasilimu kasema hi siku ndo siku yenye furaha maishani mwake.
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Usiku wa Julai 15, Msanii Barnaba alifanya sherehe ya kusherehekea ndoa ambayo aliifunga na mpenzi wake wa muda mrefu Raya, ambapo shughuli hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City na...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana, licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo. Hatukatai anajitafutia...
7 Reactions
68 Replies
6K Views
Nimekutana hii huko twitter Baruan Muhuza mmoja ya waandishi nguli na viongozi wa AzamTv ameanzisha chuo chake cha habari kijulikanacho kama Ujiji Brodcasting Academy (UBA) kilichopo Ujiji mkoani...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Mwigizaji Shamsa Ford amesema watu wamekuwa wakimpigia simu na kumtumia ujumbe kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kumwomba fedha. Nyota huyo alisema kuna mtu aliomba amsaidie Sh milioni...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Msanii Mejakunta amejikuta akiishi maisha ya hofu mara baada ya Lebo ya awali aliyokuwa akifanya nayo kazi ya Makers Entertainment kushindwana nao kikazi na kila mmoja kuangalia ustaarabu wake...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Kijana Ibraah tangu ajiunge Konde Gang kama vile yupo shimoni. Alivuma kwa kasi na kupotea, hivi sasa hajulikani aliko, shabiki zake hawajui hali ya kipaji chake pengine kinapotea ama lah. Konde...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Mwigizaji wa kibongo Nagwa ajiokotea bibi wa kizungu,sasa maisha yake ni mazuri kabisa. Hivi kwanini wanawakenwa kizungu wanapenda wanaume wa kiafrika wanaofuga rasta?
12 Reactions
54 Replies
7K Views
Tasnia ya reggae imebaki mkiwa. Huku kila msanii akikimbilia kubana pua. Imekaaje hii wadau. Masela reggae inakufa na mmetulia tu. Wako wapi wazee wa Reggae 1. Innocent Galinoma, 2. Justine...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Mi naona Lemutuz alikuwa mjasiriamali mpambanaji kwenye sekta ya social media na matangazo. Sekta ambayo kwa Tanzania na kwa ukubwa wake na mazingira ya matangazo mitandaoni, inaweza kuwa na...
18 Reactions
110 Replies
14K Views
Paul peter siniga,maarufu kama Rio paul, ni kijana wa kipekee kutoka Tanzania, anayewakilisha Vijana kwenye mkutano wa Umoja wa mataifa (UN) unaofanyika marekani,Newyork. Kijana huyo pia ambaye...
4 Reactions
112 Replies
73K Views
  • Closed
Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake...
8 Reactions
72 Replies
10K Views
⚠️😭 Socialite huyo wa Nigeria kwa jina la Benjamin(Killaboigram) ambaye ana miaka 26 amekiri na kujutia kumuua mpenzi wake huyo kwa jina la Austa ambaye pia ni socialite baada ya kutokea ugomvi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wiki chache zilizopita kila mmoja ambaye ni shabiki wa masumbwi bila shaka alisikia tambo za mdigo kwamba kwa hapa bongo hakuna bondia yoyote wa uzito wake anayeweza kupigana na yeye round 10 na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni nini!?
0 Reactions
3 Replies
685 Views
Umuofia kwenu, Igweeeeeee. Shwari wapenzi wana JF. Naomba ku-declare interest kwamba mimi ni shabiki kindaki-ndaki wa Diamond Platinumz. Kulingana na uhalisia wa jamii tunamoishi, nimejikuta...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa za Tume ya Uchaguzi ya Marekani (FEC), Rapa huyo aliyetangaza nia ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024, hadi sasa akaunti yake ya Kampeni ina salio Tsh...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu yetu mrisho mpoto viatu vilimkosea nini?
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom