Rayvanny mbwembe za kutengeneza swimming pool ya kufanyia concert iliyoghalimu milioni 70 imepasuka

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Kwa clip Moja nimeona yule msanii rayvanny akionesha ujenzi wa swimming pool kwa ajili ya tamasha kama walivo kawaida Yao.
Sasa kamchukua fundi maiko na ghalama za kuongeza sifuri imetumika milioni 70.
Limepasuka.
Mwenye picha
 
Bila hiyo clip we ni mbea
Sijui hata chuoni ukiulizwa swali kompyuta na Google ulizifanyia nini kabla ya kujibu
Screenshot_2023-10-03-15-08-11-48.jpg
 
Pole sana RayVann, next time tumia Mhandisi ila pia ungechimba kama 1.2m ungeanza ujenzi hapo, pia Kuta zinapaswa kua za zege kama zinavuka 900mm kutoka level ya ground level ya swimming pool,
Kusema kwamba gharama ni 70m ni uongozi wa karne
 
Boss wake wa zamani, aliingia na jeneza mtoto anataka kuingia na swim pool , angeogelea sijui?
 
Back
Top Bottom