Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,888

View: https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq

Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa.

Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni kutaka kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa n kuenjoy na wapenzi wangu ila haikuwa vile nilivyotarajia… Inshort shughuli yangu iliharibika sana… Lengo langu halikutimia… Nimejitahidi kufanya kitu kizuri ambacho kingenifurahisha sana siku ya Birthday yangu ila haijakuwa… … Najiskia vbaya sana… This was the worst Birthday Party of my Life nd nahisi sitokuja fanya Party tena kwenye maisha yangu… Naumia moyoni mwangu ila kila kitu kinatokea kwa sababu… Ndo maana acha tu niseme
“Alhamdulillah”. Had to take that off my chest… Ningekaa kimya ningekufa…”
Screenshot-2023-09-30-at-10.04.51-600x418.png

Hatua hiyo imekuja baada ya hotuba ya Mama yake mazazi kuonekana kumkataa mpenzi wake Whozu mbele ya umati wa mastaa ambao walijitokeza.

Mama Wema alidai hapendezwi na mwanaume wake huyo ambaye ni msanii wa muziki jinsi anavyokaa nyumbani kwa mtoto wake bila utaratibu wowote.

Una mtazamo gani juu ya sakata hilo?
 
K

Kwani kuna nini huko mjini?
 
Mwanaye enzi zake ziliisha. Hii ni enzi nyingine
 
Sijapentraaaa wala nini walivyombania mjomba sele kutumwagia mavokali yake, wambea tungejua mengi sana.
Uncle sele ndio alikuwa na full content ya kuchachua shuhuli ya bday 🤣🤣🤣🤣
Alisogelea mike Wakamvuta pembeni chaaaap pale pasingetosha mjomba sele alidhamiria mapema kabisa kupasua yai viza akamwambia dada yk usiende mbele dada wanakudhalilisha...🤣🤣🤣🤣
 
Mjomba alofanyaje tena mbona kipande hiko sijakiona😁😁
Wakati mama wema anaongea hukumuona uncle sele alikuwa anaongea lkn hasikiki coz hakuwa na mic, ndio akawa anaifata mic kwa dada ake lkn ghafla wakamfurusha baada ya wema kuwaambia wamtoe fasta kabla hajachomoa betri 🤣🤣🤣🤣
Mjomba alikuwa na jambo zito alitaka alitapike na nasikia alilewa ili asione aibu kulitoa dukuduku lake 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom