Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwenye zile ngoma kali za HIP HOP zenye michano ya kiwango. Chorus akikaa nani inakuwa moto zaidi. Kati ya BEN POL NA BELLE 9. Yupi anapiga sana Chorus kwenye ngoma za Hip Hop... Nani zaidi?
0 Reactions
4 Replies
659 Views
Hivi Marioo na Paula mwenyewe hujiskiaje wanapokuwa wakiona utupu wa mzazi (mkwe)? [emoji116]Hii ni picha mpya aliyochapisha muigizaji Kajala Masanja au mama mzazi wa Paula,Nadhani ifike muda...
17 Reactions
114 Replies
14K Views
Hivi huyu presenter wa zamani wa Clouds fm aliendaga wapi Kwa mwenye kufahamu?
0 Reactions
5 Replies
801 Views
Huu wimbo wake alioutoa juzi unaimbwa kila mahali, hata kama huupendi utajikuta tu unausikiliza kila unapoenda, Ukiamka unaskia jirani anaupiga Ukitoka nje unakutana nao kwenye maduka ya...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa miguu hii kama minazi ya coco beach msanii wenu “Kwevo” anazingua sana kuvaa vipensi “vinjunga”. Kwaufupi anazingua.
10 Reactions
48 Replies
5K Views
Diamond na Juma Jux. Wanusurika kifo kwenye lifti siku ya Leo baada ya Lift kukwama kwa Dk 15. Star Wa Muziki Africa [emoji881] diamondplatnumz Ameweka Wazi Kunusurika Kifo Kwenye Lift Akiwa...
4 Reactions
64 Replies
7K Views
Wakuu za muda huu?, Nimeona you tube channel ya Global publishers wakifanya mahojiano na DJ Steve B, aliyewahi kuwa DJ wa clouds FM siku za nyuma, huyu jamaa anaumwa ana matatizo ya figo, please...
8 Reactions
116 Replies
23K Views
Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya...
65 Reactions
320 Replies
33K Views
Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya #YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI. Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo Sana, Mimi Sijamtumia Kitu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mpiga picha wa Harmonize na yeye aondoka Konde Gang. @jabulant_ ambae alikuwa mpiga picha wa msanii wa Bongo Fleva @harmonize_tz ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na msanii huyo ambae ni...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Huyu bwana Swala wa Wasafi anaetambulishwa leo ni nani?
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr. Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana...
3 Reactions
123 Replies
8K Views
Zimebaki siku chache mwezi huu wa July uishe. Hivyo basi Ally Kiba autumie huu mwezi vizuri kabla Diamond hajaondoa msaada wake. Diamond Platinumz huwa anamjibu Ally Kiba Ili angalau kum boost...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama Diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda? Katoa santuri mbili zote hazijaenda mjini kivileee kama kawaida wonderful...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Kwa sasa Habari ya mjini ni MARIOO na PAULA ambao wapo kwenye mapenzi shata shata. Paula ambaye ni mtoto wa Mastaa wawili Bongo Kajala Masanja na mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva P-FUNK...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Pasina shaka ya aina yoyote ukisema umtaje role model wa wasichana wowote wanaopenda mapigano basi lazima utamtaja mwanamama Cynthia Rothrock ama Cynthia Rock kama anavyulikana na wengi. Tangu...
7 Reactions
39 Replies
5K Views
Mama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule...
20 Reactions
117 Replies
12K Views
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena...
5 Reactions
58 Replies
8K Views
Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Limetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru? Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI wengine...
10 Reactions
79 Replies
7K Views
Back
Top Bottom