Wasanii wa kibongo ombeni msamaha kwa Diamond..kabla hali haijawa mbaya

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
IMG-20230910-WA0008.jpg

Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva.

Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye.

Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu.

Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure.

Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa kuweka pua yake inabidi wasubiri mpaka aende likizo.

Akiamua kuleta msanii wake mpya ndani ya wiki moja anakuwa supastaa mkubwa na biashara inayolipa. Wengine walijaribu wakachemsha.

Wasanii ombeni msamaha Chibu kabla ajapata hasira zaidi akaleta album yake.
 
Mafanikio hayapimwi hivyo ya muziki huwezi kuimba ngono na Pombe kila siku ukasema wewe ni msanii mkubwa huo ukubwa unapewa na watu wazinzi na walevi tu .
 
Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva.

Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye.

Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu.

Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure.

Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa kuweka pua yake inabidi wasubiri mpaka aende likizo.

Akiamua kuleta msanii wake mpya ndani ya wiki moja anakuwa supastaa mkubwa na biashara inayolipa. Wengine walijaribu wakachemsha.

Wasanii ombeni msamaha Chibu kabla ajapata hasira zaidi akaleta album yake.
Kwa nyimbo zile za kipumbafu

Digidigi
Zuena
kanyaga
Ewaa
Ndio awe baba wa bongo flava? ??acha bangi
juma nature
Prof jay
Afande selle
ulamaa
fid q
Ally kiba

Wao tuwaiteje
 
Back
Top Bottom