Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu bwana mdogo ambae ni marehemu kwa sasa amefariki mwezi huu wa tisa. Nimejaribu kufuatilia chanzo Cha kifo ila sikupata muafaka naona tu waigizaji mchwara walikuwa wakimficha mama yake kifo...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Achana na ile kirikuu yake [emoji3][emoji3], jamaa kwanza nampongeza kwa ule uthubutu. Clouds wana bahati sana ya kuwa na mtu aina ya KP hasa kwenye kile kipindi chao cha ‘powerbreakfast’. Huyu...
34 Reactions
70 Replies
6K Views
Miaka kadhaa iliyopita, kwa mara ya kwanza Tanzania ilipata mwakilishi kwenye ligi bora ya kikapu duniani; NBA kupitia Hasheem Thabeet. Wapenda michezo na maendeleo kwa ujumla walifurahia...
23 Reactions
264 Replies
22K Views
Msanii maarufu wa kimarekani, Celine Dion ameahirisha shoo zake zote kwa mwaka 2023-24 akisema hayuko imara vya kutosha kutokana na ugonjwa unaomkabili kwenye mfumo wa neva. "Nimekuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
KARIBUNI OLD SCHOOL HAPA. Kabla hujawaza kuhusu Sir Nature, Dully,Q. Chief,T.i.d, Paulina Zongo, Mr Paul n.k. Linapokuja suala la Chorus. Hivi uliwahi kumfikiria malikia Lady Jaydee linapokuja...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Wafuatao ni watangazaji wa Radio Free Africa (RFA). Nilikuwa shabiki mkubwa wa RFA kwa maana ilijitahidi kuziba mapungufu ya RTD! Sasa hivi sera za radio hii zimebadilika sana na kukosa mwelekeo...
51 Reactions
318 Replies
93K Views
MATONYA___SIAMINI. Aiseee hii beat ya ROY🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻 Aisee, Rest easy Roy huu mdundo...🙌🏻🙌🏻🙌🏻
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Vicky Kamata Afunga Ndoa na Dk. Likwelile Dk Servacius Likwelile. Dar es Salaam, Geita-Tanzania. Mbunge wa Viti Maalamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vicky Kamata amefunga ndoa na Katibu...
13 Reactions
279 Replies
110K Views
Sina Maneno meengi Mkiambiwa huwa HAMSIKIII.. ===== Mtu yeyote atakaekuja kuniskia nasema nampenda mwanamke yeyote basi mtu uyo kama nipo naye karibu yani uso kwa uso basi naruhusu anipige ata...
12 Reactions
100 Replies
9K Views
Mwigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya anasema huwa anaogea maziwa ili aweze kulinda na kutunza ngozi yake ili iendelee kuwa na mvuto. Ameyasema hayo akiwa kituo cha radio cha Clouds Fm. Nini maoni...
10 Reactions
79 Replies
6K Views
Habari. Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa 1. Hafungishi ndoa? 2. Hafanyi ibada ya mazishi? 3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
13 Reactions
69 Replies
7K Views
Kwenye uandishi na kurap/flow, kati ya Nikki Mbishi na Stereo nani mkali zaidi?
1 Reactions
7 Replies
992 Views
Sijawahi jaribu kufuatilia historia ya maisha yake, lakini nilisikia eti alikufa kwa kufungiwa chumbani kwa siku 12, Mke wake siku ya 8 harufu ndani ikazidi na alipofungua mlango akakutana na...
6 Reactions
36 Replies
7K Views
Rapa na muimbaji wa Marekani Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa kosa la kujichua...
9 Reactions
51 Replies
3K Views
Mtangazaji wa EATV katika kipindi cha bongo fleva,Lesa Leo katupia viwalo vya kiuchokozi-chokozi.Una maoni gani?
7 Reactions
79 Replies
9K Views
Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao...
3 Reactions
84 Replies
7K Views
Mwanamziki maarufu kutoka Colombia Shakira ambaye walitengana na mpenzi wake aliyekuwa beki wa timu ya mpira Barcelona pique machale yalimcheza pique alikuwa anamcheat baada ya kukuta Strawberry...
26 Reactions
81 Replies
8K Views
Mshambuliaji mashuhuri duniani Ronaldo de Lima amebatizwa katika Kanisa la Sao Jose do Jardim Europa Parish huko Sao Paulo. Ronaldo de Lima ame post picha kwenye Instagram page yake na kusema...
35 Reactions
149 Replies
8K Views
Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti…. Pamoja na hilo imeonekana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni msanii mwenye kipaji kikubwa mno. Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kali kama: 1. Mama Neema 2. Binti kimanzi ft Bushoke 3. Ya nini malumbano 4. Tamaa mbaya nk.
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom