Anayedaiwa kumuua Tupac Shakur akamatwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Duane "Keffe D" Davis amekamatwa na Polisi, akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya Rapa Tupac Shakur aliyepigwa risasi katika mitaa ya Las Vegas.

Licha ya Mashtaka yake kutowekwa wazi, taarifa zinaeleza kuwa Mashauri yote kuhusu kesi hiyo iliyodumu kwa takriban miaka 27 yatajulikana leo Septemba 29, 2023.

Tupac alizaliwa jijini New York mwaka 1971, alijipatia umaarufu mkubwa kupitia muziki wa Hip Hop kutoka upande wa West Coast akitamba na 'hits' kama Do 4 Love, Hit Em Up na California Love.

========

A man has been arrested in Las Vegas over the murder of rapper Tupac Shakur, who was shot dead in 1996.

Duane "Keffe D" Davis was arrested early on Friday morning, though the exact charge or charges were not immediately clear.

A formal indictment is expected later on Friday, according to reports.

The arrest represents a long-awaited break in a case that has frustrated investigators and fascinated the public ever since the hip-hop star was killed on the Las Vegas Strip 27 years ago.

Born in New York City in 1971, Shakur became one of the leading figures in the West Coast hip hop scene, with hits including California Love.

SKY NEWS
 
Soma vizuri nimesema aliyemlisha magufuli sumu!!! Kama hujui magufuli aliwahi lishwa sumu basi aiasa uneanza kufuatilia baada ya kombe la dunia la juzi 😁😁😁
Alisema mwenyewe alitaka umaalufu tu na kuonewa huruma,,mbona unamchanganya na Tundu lisu??
 
Nimekumbuka kipindi cha vlad TV
Jamaa alikuwa anahojiwa sana
Alipigwa maswali alikuwa anarukaruka

Ova
 
Vlad is a fed
Sielewi kwanini watu wanaendaga kujisnitch kwa undercover cop yule
No, he is not. Keefe talked to a lot of people. Actually his interview with The Art of Dialogue was more revealing. This dude is supposed to be a gangsta but he snitched on himself!!
 
No, he is not. Keefe talked to a lot of people. Actually his interview with The Art of Dialogue was more revealing. This dude is supposed to be a gangsta but he snitched on himself!!
Hata kwenye kitabu chake kafunguka
Nahisi karma inamhusu

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom