Ungependa Diamond Platnumz ashirikiane na Msanii gani wa kimataifa katika Nyimbo za huko mbeleni?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
20231002_215918.jpg

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Nyota Wa Muziki wa Barani Afrika, Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz!

Mwanamuziki huyu anatimiza Miaka 34, akiwa na Mafanikio ya Nyimbo Nyingi zinazoingia katika Chati za Kitaifa na Kimataifa, Album 2( Kamwambie na A Boy From Tandale) na EP moja (First of All)

Akiwa na zaidi ya Miaka 10 kwenye game Diamond amefanikiwa kuwashirikisha na kushirikishwa na Wasanii wengi wa Kimaifa kama Burna Boy, Omarion, Rick Ross na wengine wengi

Kama shabiki wa dhati wa Diamond, ungependa Diamond ashirikiane na msanii gani wa Kimataifa kama zawadi kwa Mashabiki?
 
Mi mpaka sasa sijajua msanii mtindo Gani.
Siku mtu akizindua viitikio vya porno kwa Tanzania vitafanya vizuri kwa domo
 
Kwa hizi nyimbo za shu!😁😁😁, Namshauri akazifanyie remix na Busta Rhymes.
 
Kwanza ajirudi! Siku hizi namuona kama anparanganyika! Kama anakula madawa vile! Micheni kibao, nguo za ajabu ajabu, nywele za ajabu ajabu! Zamani alikuwa poa sana! Napenda sana nyimbo zake na ana kipji cha hali ya juu, ila asipojicheki, ataishia pabaya.

Siyo lazima msanii uonekane wa ajabu ajabu kuwa wa maana au maarufu, unaweza kuwa kawaida tu na bado ukashika chati!

Happy Birthday Naseeb!
 
Aache kuimba na kuhamasisha ngono na mambo ya kwa mpalange yeye na vijana wake
 
View attachment 2769897

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Nyota Wa Muziki wa Barani Afrika, Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz!

Mwanamuziki huyu anatimiza Miaka 34, akiwa na Mafanikio ya Nyimbo Nyingi zinazoingia katika Chati za Kitaifa na Kimataifa, Album 2( Kamwambie na A Boy From Tandale) na EP moja (First of All)

Akiwa na zaidi ya Miaka 10 kwenye game Diamond amefanikiwa kuwashirikisha na kushirikishwa na Wasanii wengi wa Kimaifa kama Burna Boy, Omarion, Rick Ross na wengine wengi

Kama shabiki wa dhati wa Diamond, ungependa Diamond ashirikiane na msanii gani wa Kimataifa kama zawadi kwa Mashabiki?
Msanii quavo au DJ Khalid wa marekani awe kama zawadi kwa shabiki zake
 
Anatuharibia muziki na jina tu la njiii huyu quevo,wasanii wakali sana wapo nchi hii Sasa yeye anafursa halafu kipaji ziro,yaani mashabiki wake ndio wanambeba tu,kafanya ngoma mbili na mopao karudia kitu kile kile,hajui abase wapi,Leo kaimba kinaijeria''baba godo'" nyingi kesho awena maaaaaa za kutosha,hata wazungu wanaona huyu niaje?Tz Kuna wasanii Wana sauti na melody zao,mfano Saida Karoli huyu ndio angetaftiwa kolaba na Kanye awakalishe.ova.
 
Back
Top Bottom