Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

http://i4.ytimg.com/vi/wKsoXHYICqU/default.jpg
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sioni ubaya wa wananchi wa Tanga kumpa ubunge mganga maarufu wa kienyeji maji marefu. Inaonekana wamechoshwa na mafisadi wasomi ndio maana wameamua kuchagua mganga wa kienyeji awawakilishe...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Flaviana Matata ndani yaBongo Darisalama!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ooppsssssssssssss! Drake Kanye West B.O.B SWIZZ TREY SONGZ CHRIS BROWN LANCE GROSS PHARRELL WILLIAMS MAXWELL KID CUDI TI (aka Clifford Harris)
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Jamani huyu mzee nimesikia tetesi anakuja na tv show yake kuonyesha yote aliyotabiri na yametokea, hivyo atawaproovia watz kuwa yeye ni mwanzo na mwisho wa UTABIRI kupitia TV show yake...kaeni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
OMG Gadner why? Captain mbona wang'atuka dah ngoja tujue kwanini. Umetustua wengi bro! Kuna nini kinaendelea Pale Redio ya Magholofani...as Sophia Kessy Nae Katangaza kuacha....wamengiliwa na...
0 Reactions
70 Replies
14K Views
Naangalia ze origino comedy TBC1 ila natiwa kichefuchefu na jinsi msanii wa kiume alivyouvaa wasifu wa kike! Amefanikiwa lengo kuwa aonekane mwanamke, tena mrembo! Lakini hii maana yake nini kwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Closed
Habari nilizozisoma toka kwenye gazeti la kiu la wiki iliyopita ni kuwa mwigizaji Tino alizimia wakati akisubiri majibu yake alipokwenda kupima UKIMWI katika kituo cha ANGAZA Magomeni.Taarifa...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Wakati mwaka 2010 unaelekea ukingoni, sio mbaya tukawakumbuka baadhi ya ndugu zetu (maarufu) waliotutangulia kwa mwaka huu. RIP. - Mzee Pwagu - Aliyekuwa mwigizaji wa Kundi la Kaole. Nico...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Hapa mkuu anajaribu kushow love kwa wananchi wake...zawadi ya ua si ndogo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Considering Kanye West's checkered past year with MTV, it seems unfit that the opinionated hip-hop genius would top any list complied by the media outlet. But in all honesty, West's crowning as...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za kuaminika nimezipata kua aliyekua mwanamziki wa siku nyingi Bwana Abou semhando amefariki leo asubuhi kwa ajali ya pikipiki. pumzka mahala pema peponi!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Peoples Power, Nguvu ya Wananchi ni nguvu ya Umma. Wanajamvi yeyote mwenye CV za hawa wabunge wafuatao wapya wanaoingia mjengoni atuwekee hapa tuwajue walisomea nini, wapi, wameisaidaje jamii so...
0 Reactions
31 Replies
15K Views
Huyu Baruan Mhuza alikuwa star na kwenda TBC. Ilikuwaje akarudi tena STAR TV???? Na yule Somebody ODHIAMBO aliyekuwa TBC na kutangaza matokeo ya uchaguzi ya kenya yupo wapi siku hizi? Wanajukwaa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani wana JF, naomba mnisaidie kwenye hili, kwani napata kizunguzungu tu. Hivi huu mvutano wa Waziri wa Ardhi na Mipango Miji na Huyu mmiliki wa kiwanja hiki kilichopangwa kiwe cha wazi, nani yu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jay-Z is a business, man -- and now he's got the ride to prove it. Wife Beyonce bought the superstar rapper a Bugatti Veyron Grand Sport, a sports car that cost a cool $2 million, for his 41st...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
najua mmewahi kusikia sehemu ya wimbo maarufu wa Dr Remmy uitwao "Kifo" isemayo ".... kifo ungeonekana ungekuwa tajiri sana..... kifo tungekupa rushwa, kusudi tuishi milele...." je, kwa hapo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna watu wamekuwa wakibeza na kukashifu baadhi ya posts humu kwa kudhani kwamba wao wanaelewa zaidi ya wengine! Hiyo post hapo juu iliwekwa nami, as I got it from one of the media sources,...it...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom