Celebrities Forum: Uwoya hataki kurudi kwa mumewe?


bwegebwege

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Messages
1,031
Likes
19
Points
135
bwegebwege

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2010
1,031 19 135
Kuna watu wamekuwa wakibeza na kukashifu baadhi ya posts humu kwa kudhani kwamba wao wanaelewa zaidi ya wengine! Hiyo post hapo juu iliwekwa nami, as I got it from one of the media sources,...it was published in not less than three newspapers!! Kwa waliobeza, jiulizeni Celebrities Forum ni kwa ajili ya nini??
Forum: Celebrities Forum

[FONT=&quot]"Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general) The right place for celebrity enthusiast[/FONT]"

Kwa mantiki hiyo my post is in the right place, whether you like it or not!! Kama mods wanaona haifai wanaweza kuiondoa.....
 

Forum statistics

Threads 1,238,262
Members 475,878
Posts 29,314,031