Kikwete: Nikupe ua au nisikupeee...

Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,146
2,000
Safari hii ampe angalau ukuu wa wilaya. Credentials zake ziko juu kuliko akina mkwassa na wengine wengi aliyowapa posts kama hizo.
 

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,533
0
Safari hii ampe angalau ukuu wa wilaya. Credentials zake ziko juu kuliko akina mkwassa na wengine wengi aliyowapa posts kama hizo.

Ni kweli kabisa, dada yupo safi.Anastahili zawadi kubwa kuliko hilo ua. Namkubali dada Bhanji.
 

boma2000

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
3,285
1,500
Ila JK anaoneka kashoka tangu uchaguzi uishe si kwenye hii picha ila kwenye TVs anapoonekana
 

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,297
2,000
Sintashangaa Kikwete akimteua SHY_ROSE kuwa mbunge kati ya vile viti vyake vilivyobakia!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom