Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,966
- 2,000
Wakati mwaka 2010 unaelekea ukingoni, sio mbaya tukawakumbuka baadhi ya ndugu zetu (maarufu) waliotutangulia kwa mwaka huu. RIP.
-
Mzee Pwagu - Aliyekuwa mwigizaji wa Kundi la Kaole.
Nico Bambaga - aliyekuwa mchezaji wa Yanga, Simba na Taifa stars.
Juma Mkambi 'Jenerali' (wa kwanza kushoto waliochuchumaa) - Alikuwa mchezaji wa Yanga na Taifa Stars.
Pdidy -
Syllesaid Mziray -Aliyekuwa kocha wa Simba na Taifa stars.
Dr. Remmy Ongala - Aliyekuwa mwanamuziki.
Tuliwapenda sana Nyie mmetangulia na sisi tutafuata.
RIP.
Wengine niliowasahau unaweza ukawongeza kwenye list..........................