CV za Wabunge Wapya Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV za Wabunge Wapya Chadema

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kivumah, Nov 4, 2010.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Peoples Power, Nguvu ya Wananchi ni nguvu ya Umma. Wanajamvi yeyote mwenye CV za hawa wabunge wafuatao wapya wanaoingia mjengoni atuwekee hapa tuwajue walisomea nini, wapi, wameisaidaje jamii so far,etc. lengo tuwajue vizuri kabla hawajaanza makeke yao Bungeni.
  1. Tundu Lissu
  2. John Mnyika
  3. Vincent Nyerere
  4. Hezekiah Wenje
  5. Proffessor Kahigi
  6. Lema(Arusha Mjini)
  7. Sugu Joseph Mbilinyi(Mbeya Mjini)
  8. Samson Highness (Ilemela)
  etc
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kaangalie kwenye tovuti ya bunge la Tanzania,tayari wameshaweka CV zao!jingine mkuu!!!!
   
 3. D

  Dina JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Changanya na za wabunge wa CCM...
   
 4. P

  Pattie Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watupe fact kwa hoja iliyotolewa co kusema angalia wapi? Au sehemu flani....
   
 5. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  CV zao we zitakusaidia nini?
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
 7. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1. Majasiri wa kukataa Rushwa , walihongwa 900,000,000 kila mmoja wakataa
  2. Uwezo mkubwa wa kujengo hoja na kushawishi, hawakutoa hongo hata kidogo lakini kwa hoja wakashawishi wakashinda (eg Sugu)
  3.Uvumilivu mkubwa, walisubiri matokeo kwa siku 3 hadi 4 bila kulala
  4.Utaalamu wa kuzingatia sheria za Nchi, CCM wamejaribu kutafuta walipojikwaa wamekosa

  na nyingine nyingi
   
 8. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Anza kuweka CV ya mjomba wako J. Komba kwanza.
   
 9. G

  Gokona Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu humu kwenye jamiiforums mmekaa kisiasa mtu anasema anaomba CV za wabunge hao wachadema mnakuwa wakali tatizo ni nini hawa ni waheshimiwa wabunge wateule wa jamhuri jitahidini maana tunajua wengine kwa elimu ya darasani mmefikia hatua ya elimu nzuri lakini ndani ya chama chenu uwezo unakuwa mdogo mmejaa chuki,kusema uongo,kutaka huruma kutoka kwa wananchi maana watu waliwadanganya mkaingia kwenye uchaguzi kwa kundi fulani likiwa nyuma yenu sasa pwaaaa jazba na pressure juu na hii imedhihirisha ukomaaavu cheche .Tupeni CV za hao jamaa zenu kama mnavyosema mnauwezo wa kuzipata za CCM leteni na CV za kina sugu hapa.
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  prove beyond reasonable doubt about the allegation?

  hii ndiyo inaharibu image ya chadema, uongo uongo badala ya kujenga hoja za msingi
   
 11. kizomanizo

  kizomanizo Member

  #11
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  John Mnyika aliniacha shule O-Level (1998) Maua Seminary alimaliza na aligonga A 9 na C ya English. A-Level alienda Tambaza ila sidhani kama lipata mafanikio kama mwanzo(maoni yangu tu) na nadhani aliirudia tena A-level an kupata matokeo mazuri hivyo kwenda kusoma chuoni na hatimaye CHADEMA.

  Ya Bw. Lema sijui nani anaweza kuongea maana hapa Arusha inafahamika kwamba jamaa kamaliza form 4 na div mbovu kiasi na jakusoma A--level ila mwishoni amefanya certificate flani ya Computer (Sina uhakika hapa) ila wadau wengi wanasema ni magumashi. (Tumemchagua kwa sababu tumechoka na walokuwepo wenye elimu na pesa ila hakuna walichofanya, ona njia ya kuelekea mtaani kw
  etu ilivyo).


  [​IMG]
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Kizomanizo.

  Mkuu asante sana umejaribu kutoa majibu ambayo wengi wamekwepa kwa makusudi.Kuna kipindi unafika unawashangaa watu hapa Jamvini habari wanazotaka ni kusifia CHADEMA tu ukikosoa utapachikwa majina ya ajabu ajabu.Mleta mada kaomba CV za wabunge wa CHADEMA kama unajua unatuambia kama hujui unakaa kimya.

  Mkuu wangu CV ya Godbless Lema ni ya hovyo kuliko nilivyofikiri mwanzo.Jamaa alishindwa kufaulu mtihani wa form II kuingia form III.Ana cheti cha lugha ya kiingereza miezi 3 KIMAHAMA mkabala na Golden Rose.Mkuu mambo mengine labda ajiendeleze baada ya kuwa mheshimiwa kazi hii namwachia kamanda PakaJimmy anaweza kumshauri.

  Mkuu ni kweli Lema amechaguliwa kwasababu watu wameichoka CCM si kwa ubora wa kujenga hoja hata kidogo.

   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu Ngongo,

  Inapofikia habari za G.Lema basi kwako ni burdaaani kubwa sana, maana kutwa kucha unajikaririsha habari zake!
  Mkuu, elimu haina mwisho, umri unamruhusu, atasoma taratibu.Mbona akina Diallo na umri wao wamesoma uzeeni na kujiongezea maarifa, itashindikana kwa Lema ambae yuko kwenye mid-thirties?
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu PakaJimmy

  Ndiyo maana nikasema unaweza kumsaidia !.
   
 15. F

  Far star Senior Member

  #15
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe mambo ya cv yatakusaidia nini, ukisema hivyo mbona ccm kuna watu hata cv hawana kabisa, wameingia kwa kuiba kura na hii ndio cv na sifa kuu ya wabunge wa ccm.
   
 16. P

  Peter Kings Member

  #16
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naomba nichangie kwa hao ambao wanamponda Lema kwamba hajasoma.
  Labda tuambiane ni vigezo gani vinatumika ili kusema mtu amesoma au hajasoma? Nafikiri most us will count number of years one has
  in class. Hii dhana ndo inatufanya tunakuwa na viongozi wabovu katika nchi yetu. Baraza la mawaziri la TZ linaloishia lilikuwa na maprofessor
  kati ya 6-0 na PhD,s holders 10-14 lakini tupime performance ya serikali kwa ujumla. Sisemi kwamba tunatakiwa kuwa na viongozi ambao
  hawajasoma NO, ila pima uwezo wa kiongozi kwa hoja zake, anavyo jieleza na mambo ailiyofanya.

  Mimi namjua Lema na nimeshakaa nae mara nyingi hapa Arusha. sijawahi kumuuliza elimu yake bali kwa kumsikiliza ni mtu mweye uwezo
  mkubwa sana wa kujenga hoja, kujieleza kiufasaha na ana msimamo. Kama ningependa kum rate kielimu basi ningesema ana MASTERS
  DEGREE TENA YA MIAKA YA NYUMA na siyo hizi za sasa hivi (VODA FASTA) mtu kapata first degree yake PASS na ana qualify kufanya Masters.

  Kwahiyo kama amesoma kimahama au popote mimi napenda kukuambia Lema ana uwezo mkubwa pamoja na elimu yake ya kimahama.
  Angalia nchi kubwa duniani zimeongozwa na akina nani na ZIKO WAPI.
   
 17. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Too late, hayo maswali yalitakiwa yaje wakati wa michakato or else wakati wa kampeni!
   
 18. B

  Baba Ubaya Senior Member

  #18
  Nov 20, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Du! hii kali
   
 19. L

  Leornado JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,196
  Trophy Points: 280
  Ndo mana kuna steet university za akina shigongo.
   
Loading...