Msaada Tutani

Jozdon

Member
Dec 17, 2008
55
70
Jamani wana JF, naomba mnisaidie kwenye hili, kwani napata kizunguzungu tu. Hivi huu mvutano wa Waziri wa Ardhi na Mipango Miji na Huyu mmiliki wa kiwanja hiki kilichopangwa kiwe cha wazi, nani yu sahihi?? Huyu bwana kiburi hiki cha kujibizana na waziri kinatoka wapi? Nini hasa Power ya waziri au Wizara ki ujumla kwenye hili? President kama waziri anafanya kazi kumsaidia ananafasi gani kwenye hili? na je kama sheria ni kwamba Ardhi ni Mali ya Serikali na Rais anaweza kuichukua wakati wowote kwa manufaa ya umma, sasa kigugumizi kiko wapi kwenye hili? Au President akubaliani na uamuzi wa waziri? kama ni hivyo kwa nini wasimalizane wao kiofisi kimyakimya kabla ya waziri kuwavaa hawa jamaa? Aisee sielewi kabisa. hembu wan JF wenye ufahamu mzuri wa haya mambo mnisaidie
 

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
0
jamani wana jf, naomba mnisaidie kwenye hili, kwani napata kizunguzungu tu. Hivi huu mvutano wa waziri wa ardhi na mipango miji na huyu mmiliki wa kiwanja hiki kilichopangwa kiwe cha wazi, nani yu sahihi?? Huyu bwana kiburi hiki cha kujibizana na waziri kinatoka wapi? Nini hasa power ya waziri au wizara ki ujumla kwenye hili? President kama waziri anafanya kazi kumsaidia ananafasi gani kwenye hili? Na je kama sheria ni kwamba ardhi ni mali ya serikali na rais anaweza kuichukua wakati wowote kwa manufaa ya umma, sasa kigugumizi kiko wapi kwenye hili? Au president akubaliani na uamuzi wa waziri? Kama ni hivyo kwa nini wasimalizane wao kiofisi kimyakimya kabla ya waziri kuwavaa hawa jamaa? Aisee sielewi kabisa. Hembu wan jf wenye ufahamu mzuri wa haya mambo mnisaidie

acha kujifisadisha wewe yule mama tiba kachemka anakuja kupiga kelele kwenye vyombo vya habari ilhali mafisadi wenzake wameuza hicho kiwanja siku nyingi hana data anazungumza upupu
 

Jozdon

Member
Dec 17, 2008
55
70
Bado hujasaidia kujibu matatizo yanayonipa kizunguzungu. Yawezekana rushwa ilitumika, ok. Kinacholeta shida hapa ni nini power ya wizara (waziri)? President na sheria kwenye hili?????
 

semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
hata kama preso ana power hawezi kuingilia kila jambo.after all kile kiwanja kilishauzwa na mafisadi na jk ni mmoja wao sasa unategemea aingilie akiwa upande wa nani?cha msingi tibaijuka arudi nyuma achunguze kwanza ndio atoe uamuzi sio kuimba ngonjera mbele za watu wakati waliouza wenyewe hawawezi.amebaki kumuonea mnunuaji wakati katoahela yake.kama kweli anaubavu awafate waliouza warudishe pesa ya watu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom