Gadner Kung'atuka Clouds FM

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
343
OMG Gadner why? Captain mbona wang'atuka dah ngoja tujue kwanini. Umetustua wengi bro!

Kuna nini kinaendelea Pale Redio ya Magholofani...as Sophia Kessy Nae Katangaza kuacha....wamengiliwa na mdudu gani?
 
Lazima kutakuwa na jungu limepikwa au zengwe apart from Greener pastures
 
Hawaondoki. Ni system ya mwisho wa mwaka ya kuwapigia kura watangazaji wote wa clouds ili wabaki ktk vipindi vyao au wahamishiwe vipindi vingine. Watangazaji wote sa hivi wako lockup.

Kwa maoni yangu Gadner anabore, Jahazi linamfaa sana Arnold Kayanda na Kibonde.
 
Hawaondoki. Ni system ya mwisho wa mwaka ya kuwapigia kura watangazaji wote wa clouds ili wabaki ktk vipindi vyao au wahamishiwe vipindi vingine. Watangazaji wote sa hivi wako lockup.

Kwa maoni yangu Gadner anabore, Jahazi linamfaa sana Arnold Kayanda na Kibonde.

Si Gadner, Kayanda au Kibonde, wote wanabore tu na jahazi kimekuwa ni kipindi cha Kibonde kuwaponda watu wenye mtazamo tofauti na wao na kama ni siasa basi awaponda wote wasioishabikia CCM.

Gadner amekuwa akitumia Jahazi zaidi kumtangaza mkewe kwa nyimbo zake na bendi yake ya Machozi. Hapa namsikia Gadner akiomba asichaguliwe tena kuendesha vipindi Clouds.

Mi nasema ni bora saana watafute watu wengine wenye uwezo na sio kufanya kipindi bango la matangazo ya bendi ya mkewe
 
Mzee wa kuitikia mke wa Jide acha ahamiae kipindi kingine anyway siku hizi jahazi sio kipindi kinachonifurahisha kinataka mitazamo yao iwe kama amri kumi za mungu kinajipendekeza kwa mastaaa na CCM hakina nafasi kwa chadema hata kikifanya vizuri kibonde ndio kihiyo anayefikiri anasujudiwa kitaa kumbe watu wamemezea mgojwa yule, huwa anawaaga watu baa eti ngoja nikatapike utumbo yaani ndo akatangaze jahazi, magazeti ya Shigongo yalimnyea
 
Hawaondoki.Ni system ya mwisho wa mwaka ya kuwapigia kura watangazaji wote wa clouds ili wabaki ktk vipindi vyao au wahamishiwe vipindi vingine. Watangazaji wote sa hivi wako lockup. Kwa maoni yangu Gadner anabore, Jahazi linamfaa sana Arnold Kayanda na Kibonde.

Gardner na Sophia Kessy wametangaza kuacha kazi Radio Clouds!! Gadner amesema anaacha ili apate muda wa kufanya biashara zake binafsi wakati Sakina amesema anaacha kwa sababu binafsi!!
 
Waliahidiwa donge nono kwa kuipigia debe ccm, lakini wameambulia pakavu, wanahisi wametapeliwa
OMG Gadner why? Captain mbona wangatuka dah ngoja tujue kwanini ? umetustua wengi bro?

Kuna nini kinaendelea Pale Redio ya Magholofani...as Sophia Kessy Nae Katangaza kuacha....wamengiliwa na mdudu gani?
 
Aaanze Efraim Kibonde,
Piga Chini huyo anashusha heshima ya Clouds fm kwa kuwafagilia mafisadi.
Natamani SIBUKA TV waje fresh ili Clouds Iishe kimtindo.

:whoo:
 
Wengi wa wafanyishwa kazi wa Clouds mbali nao hapo juu wanaacha kazi hivyo imembidi kusaga na Ruge waanzishe eti November noma kufanya uchaguzi wa MaDJ na watangazaji kuziba nafasi zao naona taratiibu wanaanza kufulia hawana jipya
 
2.jpgMtangazaji wa Clouds FM,Fetty nae nasikia anaacha kazi pamoja na Adam Mchovu

5.jpg
 
Wacha wajaribu mwelekeo mwingine wa maisha. Kazi za watu zinachosha jamani! Hata mimi natamani nijiajiri mwenyewe. Nampa big up kwa sababu inahitaji ujasiri wa hali ya juu.
 
Nadhani jahazi walikosea sana ku touch maisha ya watu wenye mwelekeo tofauti na wao (e.g. Mr II) pamoja na uchambuzi dhaifu wa mambo ya kisiasa ukizingatia level yao ya elimu. Other wise wangefuata maadili ya nini kilichowapeleka pale
 
buswelu jaribu kuongelea umoja,binasfi hajanigusa chochote,some things are better said if nothing is said at all,opportunities are else wea si mby akiacha maana kuna wengi wa wanatafuta kazi,na kesha fanya hapo 4 long,ngoja akapate challenges sehemu nyengine.
 
clouds sasa hivi ni redio ya majungu tu awana lolote hasa huyo kibonde pamoja na pj awa jamaa wazushi sana,wanawapigia debe mafisadi,sijui wanatafuta viti maalumu kutoka sisiem
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom