Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

abari kubwa weekend hii kwenye website, blogs za burudani na mitandao ya kijamii nchini ni kuhusiana na tukio la rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Lord Eyez kudaiwa kuhusika kwenye wizi wa baadhi...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya bongo Baby Madaha, yupo katika huzuni kubwa baada ya kumpoteza mama yake mazazi jana usiku baada ya kuumwa kwa muda. Mwili wa marehemu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Irene Uwoya apata msiba wa baba yake mdogo ambaye ni padre, huyu padre ndo alisafiri toka moshi kuja dar kufungisha ndoa ya Irene na ndikumana, mungu amrehemu padre uwoya, kafariki jana katika...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Jana kuna vijana kama wanne walikuwa na tiketi za VIP B,lakini wao wakataka kuingia VIP A,polisi wakawakatalia,jamaa wakaanza vurugu za hapa na pale,lakini wakatolewa kwene lile eneo la VIP...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ney wa Mitego, yupo kwenye hatihati ya kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) baada ya kuachia remix ya wimbo wake wa Nasema Nao iliyojaa matusi na...
0 Reactions
37 Replies
13K Views
Dogo kafanya matusi makubwa, Wema alihudhuria, inadaiwea ndiye aliyemgharamia vitu kibao, wanawake wa mjini wale wanapenda sifa wote walikuwepo, jamani dogo atawamaliza au ndude yake ita-expire...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
  • Closed
Kweli mzee kautumia ubunge wake vizuri.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ndio nimegundua leo kuwa Ngeleja ni mwanasheria alimaliza sheria mwaka 1994 pale udsm akiwa na mh. Tundu Lisu, Dr.Eliezer Mbuki Feleshi (dpp)...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Ramadhani Kalesela ‘Pingu’ yupo kwenye huzuni kubwa baada ya kufiwa na mke wake pamoja mtoto aliyekuwa tumboni leo majira ya asubuhi kwenye hospitai ya taifa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Inadaiwa amemuibia vifaa vya gari la ommy dimpoz Source:Ommy dimpoz tweets n' Millard Ayo Vitu wamevificha Tandale
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mainda asema utoaji wa mimba kwa bongo movie ni jambo la kawaida UTOAJI wa mimba kwa wasanii wa bongo movie sasa ni kama mtindo fasheni kwani usipofanya hivyo unaweza kuonekana...
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Gari aliyokuwa akisafiri nayo yapata ajali, yabingirika mara tatu. Anamshukuru Mungu kwa kumtoa salama. Source: ukurasa wake wa facebook
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toni Braxton had a little wardrobe malfunction | SHINBOW.COM
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Lucky Philip Dube (3 Agosti, 1964 - 18 Oktoba, 2007) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans katika kipindi cha...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Hivi hawa ma_representer wetu hapa bongo inamaana wamekosa kuvumbua STAIL nyingine ya utangazaji au..? Maana karibia 70% wanatumia stail moja.,mfano ukiwasikiliza kwa makini <B_12,adam...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna anayefahamu ikiwa mmoja ya wanamuziki nguli wa Reggae The late Hubert Mctosh (Peter Tosh) aliacha mtoto/watoto? Nimekumbuka one of his greatest hit Equal Rights....."Everyone is crying about...
0 Reactions
34 Replies
13K Views
Siku chache baada ya kuenea taarifa kuwa Baby Madaha kuwa ameondokewa na mama mzazi, staa huyo amefunguka na kuweka mambo sawa kuwa aliyekufa sio mama yake mzazi kama walivyockia bali ni mama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwenye facebook page ya Abdallah Hamis Ambua a.k.a mjukuu wa Ambua wa EA radio/tv inasomeka hivi; dah...!! nasikia nimesemwa vibaya leo kwenye radio.. wamenisema vibaya kuhusu mavazi yangu...
0 Reactions
42 Replies
20K Views
Bongo Flava is a genre of hip hop from Tanzania. The lyrics are in English or Swahili. Two of the biggest stars of this genre are Diamond Platnumz and Lady Jaydee. Diamond Platnumz - The King...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…