Utoaji wa MIMBA kwa bongo movie ni jambo la kawaida: Mainda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utoaji wa MIMBA kwa bongo movie ni jambo la kawaida: Mainda

Discussion in 'Celebrities Forum' started by HUNIJUI, Oct 20, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mainda asema utoaji wa mimba kwa bongo movie ni jambo la kawaida

  [​IMG]
  UTOAJI wa mimba kwa wasanii wa bongo movie sasa ni kama mtindo fasheni kwani usipofanya hivyo unaweza kuonekana mshamba wa mji.....  Msanii wa tasnia hiyo, Mainda, ametoa ushahidi wake kuwa aliwahi kumshudia mmoja wa mastaa wa tasnia hiyo akitoa mimba tena nyumbani kwake.......

  Msanii huyo ameieleza Gumzo kuwa wapo wasanii wengi wa tasnia hiyo ambao wanapata mimba lakini walio wengi wanazitoa.

  chanzo:mainda asema utoaji wa mimba kwa bongo movie ni jambo la kawaida - BongoClan

   
 2. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,433
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  bongo movie ndio nn?
  movie Hollywood au Bollywood. haobbongo maigizo kaka. limbukeni tu buuushit.
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Ma yeye katoa mimba ngapi?
  Marehemu Maksi, Ray, Marehemu Kanumba, n.k.

  Hawa wasanii sijui wanapata wapi ujasiri wa kuwasema wenzeao. Juzi Sinta nae anawataja wenzie kua ni Malaya.

  Yaani nahisi kama wanatumia style ya kama mtu uko kwenye kundi la wezi, ikitokea ukawachomea wezi wenzako basi wewe unaweza ukaonekana sio mwizi.
   
 4. C

  Concrete JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni Attention Seeking Disorder.
   
Loading...